Uaminifu (100%) ktk ndoa inawezekana?

mhh...haya bwana! hivi kuna watu bado wanawaamini ma partner zao 100%?....labda mie nakosea.
 
Mkuu unaweza kutoa mchanganuo? I mean wanaume vs wanawake....
Nadhani kwa wanawake uwezekano wa kutii kiapo cha ndoa ni mkubwa kuliko wanaume...
mbona we unachukua wake za watu kila ciku?
 
mbona we unachukua wake za watu kila ciku?

Nawapeleka wapi banaaa......umemwona The Finest kakuita we Spika??:A S angry::A S angry::A S angry:....hebu m:rip: haraka ili nipate mboga ya jioni...
 
Rose1980:

Hawapo... NUKTA

Inawezekana wewe unaongelea nadharia zaidi - Mimi ninaongelea uzoefu my dear - being married for 15+ years na nimebahatika kutembea 80% ya Tanzania anf a couple of countries abroad.

Kwa Dar hapa ninapoishi sasa nime-interact na watu wa aina zote za maisha - Upanga hadi Oysterbay, Kinondoni hadi Temeke, Mikocheni hadi Bunju. Pia maudhurio yangu kwenye sehemu za starehe ni MAZURI sana!

Nimefanya utafiti kuhusu mienendo ya Wana Ndoa na taasisi moja hapa Dar es Salaam na Mwanza mara mbili kwa kutumia "sample" tofauti. Na kila mara watu wote tuliowahoji wanandoa 97% walikubali kuwa at least once walishawahi kutembea nje ya ndoa!
UMESEMA ASILIMIA 97
mi sijasema wooooooote waaminifu na wooooote wanacheat..
waaminifu wapo ndg ata km one in a milion lakin wapo
wapo saaaaaaaaaaaana tu...KATIKA ILI TUKUBALI KUTOKKUKUBALIANA..kuna malaika wawili watatu wamebakia apa dunian...
 
samahani jamani... ndo kwaaanza naamka, haya maisha ya dunia ya kwanza ya ajabu sana... hii mada inazungumzia nini?
 
samahani jamani... ndo kwaaanza naamka, haya maisha ya dunia ya kwanza ya ajabu sana... hii mada inazungumzia nini?

Nimefanya utafiti kuhusu mienendo ya Wana Ndoa na taasisi moja hapa Dar es Salaam na Mwanza mara mbili kwa kutumia "sample" tofauti. Na kila mara watu wote tuliowahoji wanandoa 97% walikubali kuwa at least once walishawahi kutembea nje ya ndoa!

:doh::doh::doh:
 
Back
Top Bottom