Uaminifu (100%) ktk ndoa inawezekana?

huwa tunabook chimba kimoja gest na kuchangia gharama!....
Yeye ni major-shareholder na three quarters ya gharama hulipia yeye kwa sababu yeye hutumia mara tatu kwa watu watatu tofauti....!mi mara moja tu!

Actually ni chumba kile kile cha ciku ile:smile-big:

ha ha ha ha ha ha
 
Hii discussion haiwezi kupata muafaka, la msingi kaangalie kuna research tulifanya hapahapa jf juu ya infidelity and the results are shocking. Baba Gift msaidie kuitafuta..........kwi kwi kwi
 
Hii discussion haiwezi kupata muafaka, la msingi kaangalie kuna research tulifanya hapahapa jf juu ya infidelity and the results are shocking. Baba Gift msaidie kuitafuta..........kwi kwi kwi
The Following User Says Thank You to carmel For This Useful Post:

Baba Gift (Today)​
 
ndivyo ilivyo mkuu!.....
IT IS THERE TO STAY

Aisee hebu mchunguzee Bigirita anataka kukuhamisha meza, hizo route zake za come and go halafu go and come asubuhi na jioni zinanitia shaka sana ndio maana nime request wamuwekee magogo barabara ile
 
inawezekana
inawezekana
wapo
wapo
wapo
km haujawai ona bas pole
kuna watu si mapadre na wala si masista lakin wana ucha mungu+wanamuogopa mungu kiukweli so hawez akaitenda dhamb i
-kuna watu wanapendana kiukweli..na ukimpenda mtu kiukweli autopenda fanya lolote la kumuumiza (ATA KM HATOJUA KM UMESWAP NJE)..
WATU HAWA WAPO WAAMINIFUUUUUUUUUUUUUU MPK RAHA....

Rose1980:

Hawapo... NUKTA

Inawezekana wewe unaongelea nadharia zaidi - Mimi ninaongelea uzoefu my dear - being married for 15+ years na nimebahatika kutembea 80% ya Tanzania anf a couple of countries abroad.

Kwa Dar hapa ninapoishi sasa nime-interact na watu wa aina zote za maisha - Upanga hadi Oysterbay, Kinondoni hadi Temeke, Mikocheni hadi Bunju. Pia maudhurio yangu kwenye sehemu za starehe ni MAZURI sana!

Nimefanya utafiti kuhusu mienendo ya Wana Ndoa na taasisi moja hapa Dar es Salaam na Mwanza mara mbili kwa kutumia "sample" tofauti. Na kila mara watu wote tuliowahoji wanandoa 97% walikubali kuwa at least once walishawahi kutembea nje ya ndoa!
 
Katika siku za karibuni tulikuwa ktka maongezi vijana wenzangu kadhaa me na ke mchanganyiko. Katika kuchangia mojawapo ya hoja nikasema "Siwezi kuwa na nyumba ndogo wakati mke wangu nampenda na nimemchagua mwenyewe". Ajabu ni jinsi nilivyoshambuliwa na wasikiizaji wangu, (wenye ndoa na wasio na ndoa) kuonyesha kutokubaliana nami huku wakisema "Unayasema kwa kuwa tu umeoa juzi".

Sasa naomba msaada wemu wadau, je, Inawezekana kuwa na mwanandoa mwaminifu 100%? Na kama ndiyo, ni wangapi ktk 100?
Never expect....! Kwa ushauri; better to expect the good, then getting the better than expecting the best, but getting the better.....! Kwangu mimi :nono::nono::nono::nono::nono::nono:

wewe wewe komaaaaaaa
ustake nipewe talak mie na roy wangu
towash wangu mwenyewe stak kumuudhi
...ndo shda ya dig dig yan hawawez kutunza siri jaman ahh..nikiachwa uku ntakuja ukouko!!!!!:yield::yield::yield::yield::yield:
Hapo kwenye red, ndio sumu ya mahusiano...! Ukiweza kudelete hilo file kwa mwenzio itawezekana, lakini kama hilo file unalo kwenye moyo na ubongo wako basi kuna uhatari sana....! Ndio maana tuko tofauti na wenzetu wazungu...! Wao wanafanya mambo yao waziwazi, then sisi tunawacheka, tunawashangaa, na kuwasema sana....! Kumbe nasi tunafanya kinafiki, tena zaidi yao...!
 
Rose1980:

Hawapo... NUKTA

Inawezekana wewe unaongelea nadharia zaidi - Mimi ninaongelea uzoefu my dear - being married for 15+ years na nimebahatika kutembea 80% ya Tanzania anf a couple of countries abroad.

Kwa Dar hapa ninapoishi sasa nime-interact na watu wa aina zote za maisha - Upanga hadi Oysterbay, Kinondoni hadi Temeke, Mikocheni hadi Bunju. Pia maudhurio yangu kwenye sehemu za starehe ni MAZURI sana!

Nimefanya utafiti kuhusu mienendo ya Wana Ndoa na taasisi moja hapa Dar es Salaam na Mwanza mara mbili kwa kutumia "sample" tofauti. Na kila mara watu wote tuliowahoji wanandoa 97% walikubali kuwa at least once walishawahi kutembea nje ya ndoa!
The Following User Says Thank You to Baba_Enock For This Useful Post:

Baba Gift (Today,Baba Gift (Today),Baba Gift (Today),Baba Gift (Today),Baba Gift (Today),Baba Gift (Today),Baba Gift (Today),Baba Gift (Today),Baba Gift (Today),Baba Gift (Today),Baba Gift (Today),Baba Gift (Today),Baba Gift (Today),Baba Gift (Today),Baba Gift (Today),Baba Gift (Today),Baba Gift (Today),Baba Gift (Today),Baba Gift (Today)​
 
Rose1980:

........
Kwa Dar hapa ninapoishi sasa nime-interact na watu wa aina zote za maisha - Upanga hadi Oysterbay, Kinondoni hadi Temeke, Mikocheni hadi Bunju. Pia maudhurio yangu kwenye sehemu za starehe ni MAZURI sana!

Nimefanya utafiti kuhusu mienendo ya Wana Ndoa na taasisi moja hapa Dar es Salaam na Mwanza mara mbili kwa kutumia "sample" tofauti. Na kila mara watu wote tuliowahoji wanandoa 97% walikubali kuwa at least once walishawahi kutembea nje ya ndoa!

Mkuu unaweza kutoa mchanganuo? I mean wanaume vs wanawake....
Nadhani kwa wanawake uwezekano wa kutii kiapo cha ndoa ni mkubwa kuliko wanaume...
 
Mkuu unaweza kutoa mchanganuo? I mean wanaume vs wanawake....
Nadhani kwa wanawake uwezekano wa kutii kiapo cha ndoa ni mkubwa kuliko wanaume...

The Following User Says Thank You to Roya Roy For This Useful Post:

The Following User Says Thank You to Roya Roy For This Useful Post:

The Finest (Today)​
 
Back
Top Bottom