Ualimu vs upolisi ngazi ya degree. Naomba ushauri.

SASAA BAADA YA KUAPATA HUO UPOLISI UTAPEWA CHEO CHA ASSITANT INSPECTA (NYOTA MOJA) , BAADA YA MIAKA MITATU KAMA HUNA MAKOSA KAZINI UNAPANDA CHEO UNAKUWA INSPECTA(NYOTA MBILI) ,BAADA TENA YA MIAKA MITATU UKIWA HUNA MAKOSA UNAPANDA CHEO UNAKUWA ASP , SASA UKIFIKIA HAPO UNATULIA KIDOOGO KAMA MIAKA MINNE UNAKUWA Sp
 
we danganywa tu upolisi kwanza unakukosesha uhuru pili unakua mtumwa na pia unakua na mwanya wa kwenda jehanum kuwa makini pesa isiendeshe maisha yako wewe ndio uiendeshe na utambue mpangilio wa fedha ndio unaweza kumtoa mtu na si kupatiwa mshahara mwingi hapo tu ndio huwa naona watanzania ni vichwa maji ukienda upolisi utajuta maisha yako yote na itakua TOO LATE
 
Dah mmedanganyanaeee nimeshindwa kuvumilia...
Sasa sikiliza dogo najua ushatinga bongo na akilini unataman sana kuingia polisi kwa mantiki ya unafuu wa maisha. Kumbuka unafuu wa maisha hauji kwa mshahara wa kulipwa bali kwa juhudi za ziada baada ya muda wa kazi.
Unaweza kuwa mwalimu wa level ya diploma ila kwa kuwa ni mjanja unapiga mishe nyingi unaingiza extra money kuliko yule wa degree anaengojea mwisho wa mwezi apate mshahara.
Baba yangu aliwahi kuniambia yeye hajaajiriwa kwasababu hawezi kufanya biashara bali mshahara kwake ni mtaji wa kuendeleza biashara zake.
Pili, upolisi ni kazi ngumu nimeiona kwa baba yangu. Inahitaji wito kwa kiasi fulani (ndiyo wito! Kama unataka kufanya kazi ya haki) maana kamwe mshahara hautatosha na ww huruhusiwi ata kulalamika licha ya kugoma.
Swali jiulize je, unataka kuingia upolisi kwa sababu gani??! Je ni kwa sababu unaupenda au unataka kumake money?? Je utapoingia job hutakua miongoni mwa wanaoiba mafuta na shaba huko??! Mlevi wa kupindukia?
Pesa nyingi sio source ya furaha bali ni nini utafanya na pesa hizo.
Ni kweli jeshi lipo kwenye maboresho ambayo yatachukua muda at some point mambo yatakua mema.
Lakini naomba nkuibie siri maana mm mtoto wa line...upo tayari kuishi nje ya kambi bila posho ya pango? Ndiyo pamoja na degree yako lazima upangwe malindo na doria maan kuna wakati utakuwa kiongozi...utaongoza nn na hujui kazi za polisi??!
Upo tayari kukaa miaka mitatu bila kuoa?
Apa naomba kumkorekti SAMITI umri wa kuajiri ni 18-25high xul/28graduates basi.
Jingine lipi nimesahau...
Eniwei dogo usiende tu mahali kwa kua umekosa cha kufanya..kwa polisi ukifanya ivo utapata stress sana...utayakumbuka aya wakikupeleka ccp moshi kule...
Af kuna mtu kaongelea vyeo...ukitoka ccp unatoka kama askari wa kawaida..anaitwa constebo.sio jeshin unatoka na nyota.
Ayo ya vyeo usipoyatilia sana maanani bas utaishi vizuri lasivo utapata stress.
Ucku mwema na interview njema kesho.
 
Last edited by a moderator:
WALA HUJUI KITU NINAUSHAHIDI KUNA JAMAA ANA CERTIFIACATE YA LAW KAPEWA UKOPLO AMBAO MSHAHARA NI KAMA 300,000/- UKITOA KODI TAKE HOME NI KAMA 240,000/ +150,000/-= 390,000/- WAKATI MWALIMU MWENYE DEGREE 385,000/- ,NA KAMA NI HELA ZA PEMBENI HUKO KWENYE UPOLISI ZIPOOO
 
Polisi halipwi kutokana na elimu bali ngazi ya mshahra inategemea rank uliyonayo, mfano kama una PHD utalipwa sawa na mwenye diploma kama mnafanana rank/cheo cha kipolisi, ni hivyo katika majeshi yote, nakushauri utafute kazi nyingine au endelea kusoma zaidi.
 
Mwone na huyu....wahenga hawakukosea waliposema jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza!
 
WALA HUJUI KITU NINAUSHAHIDI KUNA JAMAA ANA CERTIFIACATE YA LAW KAPEWA UKOPLO AMBAO MSHAHARA NI KAMA 300,000/- UKITOA KODI TAKE HOME NI KAMA 240,000/ +150,000/-= 390,000/- WAKATI MWALIMU MWENYE DEGREE 385,000/- ,NA KAMA NI HELA ZA PEMBENI HUKO KWENYE UPOLISI ZIPOOO

Napinga sana hoja ya kumake hela ya ziada ukiwa kazini kwasababu most of th times si ya halali....kwaiyo unataka n mshkaji ale rushwa? Haipendez kwa jesh la polisi tunalolitaka bana...
Mind u sijamkataza kwenda ila aende akijua kwann anaenda not because he was misinformed!
 
WALA HUJUI KITU NINAUSHAHIDI KUNA JAMAA ANA CERTIFIACATE YA LAW KAPEWA UKOPLO AMBAO MSHAHARA NI KAMA 300,000/- UKITOA KODI TAKE HOME NI KAMA 240,000/ +150,000/-= 390,000/- WAKATI MWALIMU MWENYE DEGREE 385,000/- ,NA KAMA NI HELA ZA PEMBENI HUKO KWENYE UPOLISI ZIPOOO

acha uzuzu weweee umeng'ang'ania mwl wa bachelor anapokea take home 385,000......HUJUI KITU LKN NDIO UNAONGOZA KUCHANGIA'' GROSS YA MWL WA BACHELOR NI 532,000 TAKE HOME haipungui 430,000... Mbwiga wewe
 
Hahahah vanmedy nimekusamehe bure..maana nimeshtuka matusi yote hayo kwangu kama vile ni mimi niliyesema hayo uliyoyaquote..naomba utoe taarifa kuwa yamfikie SAMITI!
 
Last edited by a moderator:
Nilipopangwa ualimu hata familia cwezi kuipeleka na kunihamisha hawataki c bora huko wanahamahama? Nwayz thanx for ur concern.

unafikiri huko kuhama hama kwenyewe utakuwa unapelekwa mjini tu? raha ya maisha ni kutulia labda kama utaoa/kuolewa na jobless mtakuwa mnahama wote lakini vinginevyo itakubidi umuache mke/mume somewhere c'se hakuna mwajiri anayeweza kukubali hizi karaha za kufuata familia. Pia utawaathiri watoto kielimu kwa kuwahamishahamisha
 
Mbona mnajikanyaga mshahara uwezi kuupima kwa macho bali kikubwa angalia risk ya kazi ya upolisi jiulize kwanini idadi kubwa ni form iv? Ukipata jibu nenda kajiunge.
 
sikiliza wewe kilaza,ukiingia na diploma police unapewa usajenti polisi ni 380,000/-,
posho 150,000/-, takehome 320,000/-+150,000/-,jumla ya mapato ni 470,000/-,wakati mwalimu degree ni 430,000/-,toa makato ya heslb kinachobaki ni pumbaaa
sasa unaongea wakati ujui soma hapo juu utaona mshahara wa mwalimu we endelea kufukuza wanywa gongo
 
Back
Top Bottom