Uafrika ndio huo, nani zaidi?

Lekanjobe Kubinika

JF-Expert Member
Dec 6, 2006
3,020
576
Subject: Cheating

Sipho: Dad I want to marry Zandile
Dad : No ways my son, Zandile is your sister, her father was working in JNB so I had a relationship with her Mum and She gave birth to
Zandile, but pleas don’t tell your Mum.
Sipho: Okay Dad.


Six months later Sipho had courted another lady called Zingisa.
Sipho: Dad I have Zingisa now and I want to marry her.
Dad: Son, She is also my daughter, her farther was also working at the Mines so I impregnated her Mum, please dont tell your Mum again.


Sipho had no other means but to let his Mum know about this.


Sipho: Mum I wanted to marry Zandile but Dad told me that She is
his child, again I went to Zingisa, again He told me the same story,
what is happening?

Mum: Don’t worry my Son, go on with your plans, you can marry
whoever between the two.

Sipho: How? I can't Mum coz they are both my sisters.
Mum: You are not his child; He used to sleep out so Dlamini our
neighbor is your father.


Sipho fainted

 
But if they could be open to each other, children could not remain in the darkness. Unajua nini....? Anayemjua baba yako ni mama yako pekee. Ndio maana laana za kina mama ni mwisho sana. Hata watoto wa kaka yako na wadogo zako wanaweza kufanana mkajichanganya bila kujua, wakajua mama zao watoto tu - nani baba ya nanihii?
 
But if they could be open to each other, children could not remain in the darkness. Unajua nini....? Anayemjua baba yako ni mama yako pekee. Ndio maana laana za kina mama ni mwisho sana. Hata watoto wa kaka yako na wadogo zako wanaweza kufanana mkajichanganya bila kujua, wakajua mama zao watoto tu - nani baba ya nanihii?

Hamna kitu laana. Mtu wa kwanza wa mfano kupata laana angekuwa Essien wa Chelsea.
 
Essien wa Chesea sio wa kwanza naye huyo, wapo kibao kabla yake tangu dunia iumbwe, lakini mabaya yanayowakuta hawasemi ili kila anayejaribu kichwa kichwa adonolewe na laana ile ile. Laana ya wazazi chunga sana bwana. Ndio maana mama wanalazimika kuwa wapole na kusamehe kabla hajafa. Ukimkosea akaendelea kung'unika mpaka kaburini ni sawa na kumtafuta mganga aliyekuzindika atoe dawa yake wakati tayari ni marehemu.

Laana ya mama ni kali kuliko ya baba. Lutu alimlaani mtoto wake kwa kumwangalia nanihii zake akiwa amelewa, mpaka leo maumivu yanamuandama. Kama angekuwa mama sijui uzao wake ungekuwaje. Naambiwa aliyelaaniwa ndio asili yetu waafrika. Na kaini tena nasikia hivyo hivyo tunatokea kwake. Sasa laana zinatuandama sisi tuuuuuu du!

Ng'ombe ni tofauti na sie, hata kuku na kitimoto pia, wao wanaendekeza libeneke hata kwa mama yake na mwanae, lakini si ndio maana hawawawezi kufanana na binadamu? Wengi wetu hatuna hakika na baba zetu ni nani, tunafannanishwa kwa uafrika wetu, kama wachina wanavyojifananisha wenyewe. Nepal ni kawaida mwanamke akiolewa kuhudumiwa na mijanaume yote iliyomo kwenye familia hiyo, wanapangiwa zamu tu. Ukilialia anakuja mke wa kaka yako kukufariji nawe unagugumia na kunyamaza. Women have a strong willing to do anything if they want to. Anaweza kukuficha kwamba mtoto sio wako hadi ufe, ingawa ukimtibua atakusomea taarifa ya habari usiyoitaka kuisikia.
 
hahahaaah! aliyeuza cheni kauza cheni bandia na aliyetoa hela naye katoa hela bandia.
 
Back
Top Bottom