uadimu wa mwanaume aliyekamilika

wale wanaodanganya, ufalme wa mbinguni watausikia kwa majirani tu.
Source: mpwapwa, ufufuo na uzima.
Nashkuru kumpata mtu wa kuhubiri nae neno kwa leo, yaani leo nimeamka na mzuka wa paradiso kweli.
Wahubirie pia kwamba pombe ni mkojo wa ibliiis source: jirani yangu mlevi alotubia
 
Nina dedikeshen lako lakini usinitafte leo.

Utabiri: Basi Judgement na mikwala yake litajidai kuja kusoma hii post

Ntaachaje kupita klorokwini ? Hata miezi miwili haijapita nimetoka kulipa mifweza ya fees $ 4500
za huyu bibie!
Plus posho ndogo ndogo!
Hii meli ieleayo haikushuka from mbingu !
Wajengaji tupo.
 
Last edited by a moderator:
Ntaachaje kupita klorokwini ? Hata miezi miwili haijapita nimetoka kulipa mifweza ya fees $ 4500
za huyu bibie!
Plus posho ndogo ndogo!
Hii meli ieleayo haikushuka from mbingu !
Wajengaji tupo.
Judgement

Nakuaminia jibaba, weka mambo sawa halaf usinisahau kadi ya mnuso. Pilau la mwisho nilikula kule Igunga.
 
Last edited by a moderator:
Nashkuru kumpata mtu wa kuhubiri nae neno kwa leo, yaani leo nimeamka na mzuka wa paradiso kweli.
Wahubirie pia kwamba pombe ni mkojo wa ibliiis source: jirani yangu mlevi alotubia

haleluyaaaa baba paroko, bila kusahau bangi ni chakula cha malaika mtoa roho.
 
Back
Top Bottom