U-SPIKA: Sitta, Chenge wapigwa panga CCM!

Je Sita si anaweza kugombea mwenyewe bila kutumia jina la CCM?Ninavyojua uspika sio lazima uteuliwe na chama,hata mtu binafsi anaweza kugombea.Sita alikua taff sana hasa kwa wababaishaji
 
Anna Makinda miaka 61

EDUCATION


  1. Institute of Development & Management - Morogoro Administration Course 1971 1975 ADV DIPLOMA
  2. Kilakala Girls' Secondary School(Marian College) A-Level Education 1969 1970 HIGH SCHOOL
  3. Masasi Girls' Secondary School O-Level Education 1965 1968 SECONDARY
  4. Peramiho Girls' Middle School Primary Education 1961 1964 PRIMARY
  5. Uwemba Primary School Primary Education 1957 1960 PRIMARY
Mama hana degree huyu!

Anna Magreth Abdallah received a Bachelor of Arts degree in sociology from Missouri Sociology College in the United States in 1963. In 1967 she received a Diploma in Home Economics from the University of London in the United Kingdom.http://en.wikipedia.org/wiki/Anna_Abdallah#cite_note-0

Huyu mama ana miaka 70 lol! sidhani kama anaweza uspika, akili imedumaa.

Source: Mbali mbali
 
Ndugai kwahiyo anawekwa na hao watu Mafisadi sababu aliomba Uspika na Sio Naibu Spika -- hawataki Justine Muhagama kuwa Spika

Wanawake viongozi wa UWT hawamtaki
 
Hivi hakuna wana CCM wenye akili wanaoweza kukiadabisha chama hicho kama alivyofanya Salwatt? wanachama ambao watakiambia kwa matendo kuwa wamefanya uamuzi mbaya kumuacha samuel Sitta. Come on CCM members of parliament, vote against the decision of the party, mmchague mwanasheria Marando!
 
Aisee wabadilishe kidogo,walu huyo Kate maana na Anna abdalla naye apumzike tu.
 
Chadema hebu tuleteeni Mabele Marandu,tumechoshwa na baadhi ya maamuzi.Hata sisi wabunge wa thithiemu tutampigia.Wananchi wanataka maendeleo zaidi kuliko kubebana
 
Hawa jamaa watatuuwa na wastaafu. Kila spika anayestaafu anapewa gari jipya, na ataendelea kupata 80% ya mshahara wa spika aliyeko madarakani kwa maisha yake yote.... je ileofisi ya spika Urambo itatumika kwa ajili ya nini?

Itatumika kufugia Simbilisi!
 
Kamati Kuu ya CCM imependekezea majina yafuatayo kugombea Uspika: 1. Anna Makinda 2. Anna Abdallah 3. Kate Kamba Kwa hivyo Mzee wa Vijisenti out, Sitta out!!! Source: Channel 10 News Bulletin 3 minutes ago.
Ushindi wa Anna Abdallah ni ushindi wa Msekwa dhidi ya 6
 
haya yetu macho wataweza maana mmojawapo ni something ya spika mstaafu 2nataka kuongeza mafao hm.
Sijawa na uhakika kama we are serious na kilichotupeleka kule hizi chuki za kipuuzi zitatucost sana badaee,
Maana hawajaenda pale kutengeneza balance in gender issue. Nahisi hawatakuwa salama tusubiri tuone
 
Chadema hebu tuleteeni Mabele Marandu,tumechoshwa na baadhi ya maamuzi.Hata sisi wabunge wa thithiemu tutampigia.Wananchi wanataka maendeleo zaidi kuliko kubebana

Mkombozi,
Hauvumi lakini kumbe UMO MJENGONI!
Hongera na tuwakilishe KIKAMILIFU.
 
Kamati Kuu ya CCM imependekezea majina yafuatayo kugombea Uspika:

1. Anna Makinda
2. Anna Abdallah
3. Kate Kamba

Kwa hivyo Mzee wa Vijisenti out, Sitta out!!!

Source: Channel 10 News Bulletin 3 minutes ago.




HII NI JANJA YA MYANI KULA HINDI BICHI, Hawa mafisadi baada ya kuona watanzania hawadanganyika ata wakiwasafisha wafisadi wenzeo wameamua kubadili strategy.... wameamua kupandikiza puppet.. wote kati ya hao naamini wataongoza bunge kwa kufuata amri za mafisadi, watakuwa wanaendeshwa tu, SIJAONA MTU AMBAYE ANAWEZA KUWA NA MISISIMAMO YAKE BINAFSI KATI YA HAO MAPUPPET WALIOSIMAMISHWA NA ccm ( kwa herufi ndogo) kwani CCM ya kustahili herufi kubwa alikufa nao Nyerere mwaka 1999
 
Hamna spika hapo,SiSiMu wamechakachua.Uspika unamfaa Sita au Mabele Marandu.Hao watatu watafukia hoja nyingi za msingi.Wabunge wapige chini kwa yeyote atakayepitishwa.Tunahitaji mtu kama Sita.Wabunge tumewachagua msifanye makosa,kwenye kura hatuna hutani tena
 
Anayesema jf ni wazushi na alaaniwe, hii ilisemwa muda kitambo kuwa kulikuwa na mpango wa kumtosa 6 wengine wakasema eti tunazusha, sasa nani anapinga hili? Wapinzani nasi tupeleke kichwa kimoja kwa kuwa kura za mafisadi zitagawanyika!
 
Back
Top Bottom