U.S. warns Iran on Strait of Hormuz

Nchi ya Iran wana ujasiri mno wakati huu, kwa sababu Urusi wanawasadia kukuza silaha za kinuclear. Tena wanaongozwa kudai vita na US kwa vile wenzao Syria wanavofanya. Kamati kuu ya kiarabu "Arab league" wamo humo Syria, lakini bado kuna madai ya wananchi wa kawaida kuuliwa na serikali ya rais Assad. Wacha Iran waendelea kulilia wembe.
 
As US is pulling out of the war zone in Irag, it definitely would like to stay out of wars for a long time so it gets time to rebuild its economy after spending massive amount of resources in both Iraq and in Afghanistan. However, make no mistake to believe that US has been weakened by those wars. If it becomes necessary to wage a destructive war against Iran, that war will not last more than two weeks before Iran falls. The main cost of the Iraq and Afghanistan wars to US was that of rebuilding those countries after destroying them; so if US decides to just destroy Iran and never engage in rebuilding, it is obvious that US will prevail.

None who goes to war emerges a winner and none prevails.

US is a puppet of Jews, the Jews are controlling each and every move of the US and its allies including Saudi Arabian puppets.

US war with Iran did not start today or will not start in the future. US war with Iran has been an ongoing thing from the time Shah was toppled by Ayatollah. Saddam's war with Iran was in fact US war with Iran using their puppet. When Saddam signed a peace agreement with Iran, US did not like it and they wanted Saddam out so they can instal their puppets and maintain a wider war frontier. Indeed they succeeded, time to engage a face to face war with Iran is now or never, is it the oil? No.

Its simply the Jews who are feeling unsafe with Iran having atomic capability. Jews are using crusaders in any way they like, simply because they made them.
 
[h=1]

"Kwa takwimu hizi za jujuu basi IRAN inaweza kuwasumbua maadui zake"

Iran Military Strength
[/h]Iran Military Strength Detail by the numbers.
12

Record Last Updated: 6/30/2011 | Authored by Staff Writer

iran.jpg
icon-soldiers.gif
PERSONNEL

Total Population: 77,891,220 [2011]
Available Manpower: 46,247,556 [2011]
Fit for Service: 39,556,497 [2011]
Of Military Age: 1,392,483 [2011]
Active Military: 545,000 [2011]
Active Reserve: 650,000 [2011]

icon-army.gif
LAND ARMY

Total Land Weapons: 12,393
Tanks: 1,793 [2011]
APCs / IFVs: 1,560 [2011]
Towed Artillery: 1,575 [2011]
SPGs: 865 [2011]
MLRSs: 200 [2011]
Mortars: 5,000 [2011]
AT Weapons: 1,400 [2011]
AA Weapons: 1,701 [2011]
Logistical Vehicles: 12,000

icon-aircraft.gif
AIR POWER

Total Aircraft: 1,030 [2011]
Helicopters: 357 [2011]
Serviceable Airports: 319 [2011]

icon-oil.gif
RESOURCES

Oil Production: 4,172,000 bbl/Day[2011]
Oil Consumption: 1,809,000 bbl/Day[2011]
Proven Reserves: 137,600,000,000 bbl/Day [2011]

Sources: US Library of Congress; Central Intelligence Agency

icon-logistical.gif
LOGISTICAL

Labor Force: 25,700,000 [2011]
Roadway Coverage: 172,927 km
Railway Coverage: 8,442 km

icon-financial.gif
FINANCIAL (USD)

Defense Budget: $9,174,000,000[2011]
Reserves of Foreign Exchange & Gold: $75,060,000,000 [2011]
Purchasing Power:$818,700,000,000 [2011]

icon-geography.gif
GEOGRAPHIC

Waterways: 850 km
Coastline: 2,440 km
Square Land Area: 1,648,195 km
Shared Border: 5,440 km

icon-ships.gif
NAVAL POWER

Total Navy Ships: 261
Merchant Marine Strength: 74[2011]
Major Ports & Terminals: 3
Aircraft Carriers: 0 [2011]
Destroyers: 3 [2011]
Submarines: 19 [2011]
Frigates: 5 [2011]
Patrol Craft: 198 [2011]
Mine Warfare Craft: 7 [2011]
Amphibious Assault Craft: 26 [2011]
 
Luteka na mazoezi makubwa ya kijeshi ya vikosi vya majini vya jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yaliyopewa jina la "Wilaya 90" yaliyoanza Jumamosi yangali yanaendelea kwa mafanikio. Maneva hayo ya kijeshi yanafanyika kuanzia Lango la Hormoz na Bahari ya Oman hadi katika maji huru ya kimataifa ya kaskazini mwa Bahari ya Hindi.

Lango la Hormoz ni moja ya maeneo muhimu ya baharini duniani, na kwa ajili hiyo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa ikichukua hatua muhimu za kulinda na kudhamini usalama wa kudumu katika eneo hilo. Miongoni mwa hatua hizo ni kudhibiti safari za meli za kibiashara na kijeshi zinazopita kwenye lango hilo kwa msingi wa sheria za kimataifa. Hivi sasa katika maeneo mengi ya kiistratejia na kwenye malango bahari na mifereji muhimu duniani, kuna vyombo vinavyolinda na kudhibiti usalama wa maeneo hayo. Kwa msingi huo, hatua hizo za Iran hazipaswi kuchukuliwa kuwa tishio kwa usalama wa nchi nyinginezo. Kupotoshwa na kutotafsiriwa vyema maneva ya kuonyesha uwezo wa kijeshi wa Iran na vyombo vya habari vya nchi za Magharibi, kwa hakika ni sehemu ya njama za kuifanya Iran ichukiwe na kuonekana kuwa tishio, ili kwa njia hiyo zifanyike njama za kuitenga kimataifa na kisha kuishambulia kijeshi, kama hilo litawezekana. Katika miongo mitatu iliyopita Marekani imetumia mbinu tofauti kama vile vikwazo, uingiliaji wa kijeshi huko Tabas, vita vya kulazimishwa vya miaka 8 dhidi ya Iran pamoja na njama iliyoshindwa ya kijasusi ya hivi karibuni ya kujaribu kuingiza ndege yake ya kijasusi katika anga ya mashariki mwa Iran, ili kuitishia Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

Lakini kushindwa njama zote hizo za Marekani, kumebadilisha mlingano wa kijeshi na hii leo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imethibitisha nafasi yake muhimu katika njanya mbalimbali za kieneo na kimataifa. Kwa msingi huo, Marekani sasa inajaribu kuzusha wasiwasi kuhusu malengo ya maneva ya kijeshi ya Iran, ili kuyachochea mataifa mengine ya dunia yachukue msimamo wa kiuadui na kijeshi dhidi ya taifa hili. Mikakati ya Washington ya kujaribu kuonyesha kuwa uwezo wa kujilinda wa Iran ni tishio, inatokana na sababu hii kwamba, hii leo siasa za Marekani za kupenda vita zimekabiliwa na changamoto kubwa, kutokana na matatizo ya ndani ya nchi hiyo na kimataifa hasa katika eneo la Mashariki ya Kati, pamoja na wimbi kubwa la mwamko wa Kiislamu duniani.

Hata hivyo, Marekani na washirika wake wanatumia vitisho vya kijeshi na vita vya kisaikolojia dhidi ya Iran kama kipaumbele cha kwanza cha kufikia malengo yao haramu katika eneo. Ukweli ni kuwa Marekani haiwezi kuvumilia kuiona Iran ikifikia daraja ya juu ya heshima na maendeleo, kwani huko kutakuwa na maana ya kukiri rasmi kushindwa kwa siasa zake katka eneo hili muhimu. Uwezo wa juu wa Iran katika vita vya kielektroniki na katika nyanja nyinginezo za kijeshi, unadhihirisha kuongezeka nguvu za kijeshi na kujilinda za Jamhuri ya Kiislamu. Pamoja na hayo yote lakini Iran imekuwa ikisisitiza kuwa haijawahi kuanzisha vita dhidi ya nchi nyingine yoyote.

Hata hivyo Iran imesisitiza mara kadhaa kwamba haitonyamazia kimya uvamizi na hujuma yoyote dhidi yake, na kwamba nchi yoyote ile itakayothubutu kuishambulia, itapata pigo kubwa na kujutia uamuzi wake huo.

SOURCE: Luteka ya kijeshi ya kuonyesha uwezo wa kujilinda wa Iran
 
Mvutano mpya kati ya Iran na Marekani unatokota kwenye mlango bahari wa Hormuz

Jeshi la majini la Iran linafanya mazoezi makubwa karibu na mlango bahari wa Hormuz
Msafara wa meli za kivita za Marekani umepita karibu na eneo la mlango wa bahari wa Hormuz, ambalo kwa sasa linatumiwa na jeshi la Iran katika mazoezi ya kivita.

Maafisa wa Iran wamesema kuwa ndege zao za kijasusi zimechukua picha za msafara huo. Haya yanatokea wakati kukiwa na mvutano mpya baina ya Iran na Marekani katika eneo hilo, kufuatia kitisho cha Iran kwamba inaweza kulifunga eneo hilo muhimu katika usafirishaji mafuta iwapo itawekewa vikwazo.

Msemaji wa jeshi la Iran Mahmoud Mousavi ameliambia shirika la habari la nchi yake, IRNA, kwamba ndege zao za kijasusi zimeiona na kuipiga picha manowari kubwa ya kimarekani yenye kituo cha ndege, ikipita karibu na eneo la mazoezi ya jeshi la Iran katika mlango bahari wa Hormuz. Marekani jana ilisema kuwa msafara wa meli zake za kivita umepita katika mlango bahari huo, ambao ni njia muhimu ya meli zinazobeba mafuta kutoka nchi za Ghuba.

Mlango bahari wa Hormuz ni njia muhimu ya meli zinazobeba mafuta kutoka nchi za Ghuba
Huu unaonekana kuwa mvutano mpya baina ya Iran na Marekani, kufuatia kauli ya maafisa wakuu wa Iran mapema wiki hii kuwa nchi hiyo ingeweza kuifunga kirahisi njia hiyo iwapo nchi za magharibi zitatekeleza vikwazo zaidi kwa nchi hiyo. Msemaji wa wizara ya ulinzi ya Marekani amesema hatua hiyo ya Iran haiwezi kuvumiliwa. Balozi wa zamani wa Marekani kwenye umoja wa mataifa John Bolton ameliambia shirika la habari la Fox kwamba Iran ikijaribu kufunga njia hiyo itakuwa ikijiangamiza yenyewe.

Mwanajeshi Mstaafu wa Marekani mwenye cheo cha Jenerali James Marks amesema kwa muda mrefu Marekani imeweka kikosi kikubwa kabisa cha jeshi lake la baharini karibu na mlango bahari wa Hormuz kwa makusudi ya kuhakikisha usalama wa meli za kubeba mafuta. Jenerali huyo amesema suala la kufungwa kwa njia hiyo limefikiriwa zamani sana, na mazoezi ya kukabiliana na hali yoyote yamefanywa mara elfu kadhaa.

Jeshi la baharini la Marekani limejihami kuhakikisha usafiri wa meli za mafuta kutoka Ghuba.
Licha ya hayo lakini, Iran ambayo tayari inakabiliwa na vikwazo vya kimataifa kutokana na mpango wake wa silaha za nyuklia, imesisitiza iko tayari kuifunga njia hiyo iwapo itashambuliwa, au uchumi wake kuhujumiwa. Kufungwa kwa njia hiyo kunaweza kusababisha mtafaruku katika soko la mafuta ulimwenguni, na kuumiza zaidi uchumi wa dunia ambao tayari unachechemea.

Jeshi la Iran liko kati mazoezi makali ya siku kumi linayoyafanya mashariki mwa mlango bahari wa Hormuz, ambayo yanaripotiwa kujumuisha utegaji wa miripuko baharini, na matumizi ya ndege zisizo na rubani. Hadi sasa vitisho kati ya nchi hizo mbili vimeishia katika utupianaji maneno na kutunishiana misuli kupitia mazoezi ya kivita, lakini wachambuzi wana wasi wasi kwamba kichocheo kidogo kinaweza kuwasha moto kati ya nchi hizo mahasimu wa muda mrefu.
 
Marekani anatafuta njia ya Kumpiga Mu IRAN na ameshaipata hiyo ya Hormuz haya Mkuu jMushi1 tuone mwisho wake itakuwaje?......... Vita Vikali tu loooooooooooooooooo Dollar ya KimaRekani imeshuka jamani shillingi ya ki Tanzania imepanda ju..... NATABIRI VITA KATI YA US NA IRAN Mwanzoni mwa mwaka 2012...............
Ni kweli mkuu nimejiuliza how can this be avoided, ila sipati jibu...

Nadhani jibu ni moja tu, kwamba Iran wakubaliane na "masharti" yote bila ya wao kuwa na mashasharti yoyote...

However on the other hand, hata kama sababu kubwa ya Iran kutaka kuwa na neuclear ni kwasababu wana amini kuwa Israel na wao tayari wanao, bado Saudi Arabai atasapoti vita dhidi ya Mu Iran, no wonder conflicts middle East kwisha kwake maybe wese likikata...
 
Mvutano mpya kati ya Iran na Marekani unatokota kwenye mlango bahari wa Hormuz

Msafara wa meli za kivita za Marekani umepita karibu na eneo la mlango wa bahari wa Hormuz, ambalo kwa sasa linatumiwa na jeshi la Iran katika mazoezi ya kivita.

Maafisa wa Iran wamesema kuwa ndege zao za kijasusi zimechukua picha za msafara huo. Haya yanatokea wakati kukiwa na mvutano mpya baina ya Iran na Marekani katika eneo hilo, kufuatia kitisho cha Iran kwamba inaweza kulifunga eneo hilo muhimu katika usafirishaji mafuta iwapo itawekewa vikwazo.

Msemaji wa jeshi la Iran Mahmoud Mousavi ameliambia shirika la habari la nchi yake, IRNA, kwamba ndege zao za kijasusi zimeiona na kuipiga picha manowari kubwa ya kimarekani yenye kituo cha ndege, ikipita karibu na eneo la mazoezi ya jeshi la Iran katika mlango bahari wa Hormuz. Marekani jana ilisema kuwa msafara wa meli zake za kivita umepita katika mlango bahari huo, ambao ni njia muhimu ya meli zinazobeba mafuta kutoka nchi za Ghuba.

Mlango bahari wa Hormuz ni njia muhimu ya meli zinazobeba mafuta kutoka nchi za Ghuba
Huu unaonekana kuwa mvutano mpya baina ya Iran na Marekani, kufuatia kauli ya maafisa wakuu wa Iran mapema wiki hii kuwa nchi hiyo ingeweza kuifunga kirahisi njia hiyo iwapo nchi za magharibi zitatekeleza vikwazo zaidi kwa nchi hiyo. Msemaji wa wizara ya ulinzi ya Marekani amesema hatua hiyo ya Iran haiwezi kuvumiliwa. Balozi wa zamani wa Marekani kwenye umoja wa mataifa John Bolton ameliambia shirika la habari la Fox kwamba Iran ikijaribu kufunga njia hiyo itakuwa ikijiangamiza yenyewe.

Mwanajeshi Mstaafu wa Marekani mwenye cheo cha Jenerali James Marks amesema kwa muda mrefu Marekani imeweka kikosi kikubwa kabisa cha jeshi lake la baharini karibu na mlango bahari wa Hormuz kwa makusudi ya kuhakikisha usalama wa meli za kubeba mafuta. Jenerali huyo amesema suala la kufungwa kwa njia hiyo limefikiriwa zamani sana, na mazoezi ya kukabiliana na hali yoyote yamefanywa mara elfu kadhaa.

Jeshi la baharini la Marekani limejihami kuhakikisha usafiri wa meli za mafuta kutoka Ghuba.
Licha ya hayo lakini, Iran ambayo tayari inakabiliwa na vikwazo vya kimataifa kutokana na mpango wake wa silaha za nyuklia, imesisitiza iko tayari kuifunga njia hiyo iwapo itashambuliwa, au uchumi wake kuhujumiwa. Kufungwa kwa njia hiyo kunaweza kusababisha mtafaruku katika soko la mafuta ulimwenguni, na kuumiza zaidi uchumi wa dunia ambao tayari unachechemea.

Jeshi la Iran liko kati mazoezi makali ya siku kumi linayoyafanya mashariki mwa mlango bahari wa Hormuz, ambayo yanaripotiwa kujumuisha utegaji wa miripuko baharini, na matumizi ya ndege zisizo na rubani. Hadi sasa vitisho kati ya nchi hizo mbili vimeishia katika utupianaji maneno na kutunishiana misuli kupitia mazoezi ya kivita, lakini wachambuzi wana wasi wasi kwamba kichocheo kidogo kinaweza kuwasha moto kati ya nchi hizo mahasimu wa muda mrefu.

Mwandishi: Daniel Gakuba/AFP
SOURCE: Mvutano mpya kati ya Iran na Marekani unatokota kwenye mlango bahari wa Hormuz | Matukio ya Kisiasa | Deutsche Welle | 29.12.2011
 
iran wana hamu sana ya kuchakazwa'sijui kiburi wanakipata wapi'nafikiri hiyo vita ikitokea lazima israel akashambulie ule mtambo wao wa nyuklia'
 
Nina uhakika pentagon wanacheka sasa hivi,kina Ayatollah na vitisho vyao wanataka kuwachuza wenzao tuu hapo na uhakika NAVY sasa wanajua meli na submarine zote za wairan ziko wapi,hiii vita haitachukua nusu saa meli zote za Iran na submarine zao zitakuwa chini ya bahari,na hii ndio itakuwa sababu sababu ya kumaliza utawala wa kina Ayatollah na kuwarudisha kina shah...lakini siamini kama Iran ni mjinga kiasi hicho kuifunga hiyo Strait of hormuz.
 
AIR POWER

Total Aircraft: 1,030 [2011]
Helicopters: 357 [2011]
Serviceable Airports: 319 [2011]

..kichekesho kingine hiki,hivi kuna point gani ya kuwa na ndege zote hizi wakati ukweli wakianza vita na states hakuna hata moja itaruka au kuishia kuzificha kwenye bunkers zao ambako zitalipuliwa huko huko,wamuulize Sadaam au Gaddafi na ndege zao za mabillion ambazo hakuna hata moja iliruka to defend anything,waarabu waache upuuzi wa silaha wasomeshe tuu watu wao ili waendelee watengeneze tech yao kama chinese kwa sasa hizo billions za mafuta hazitawasaidia kushindana na west in anything
 
Hapa hakuna pa kutokea, hiyo bill lazima isainiwe, halafu biashara ya mafuta ya Iran itaoza,...Hapo ni Iran kuwa wapole tu, maana US hawatishwi kupigana na nchi waliyokwisha ichunguza miaka nenda rudi.
 
None who goes to war emerges a winner and none prevails.

US is a puppet of Jews, the Jews are controlling each and every move of the US and its allies including Saudi Arabian puppets.

US war with Iran did not start today or will not start in the future. US war with Iran has been an ongoing thing from the time Shah was toppled by Ayatollah. Saddam's war with Iran was in fact US war with Iran using their puppet. When Saddam signed a peace agreement with Iran, US did not like it and they wanted Saddam out so they can instal their puppets and maintain a wider war frontier. Indeed they succeeded, time to engage a face to face war with Iran is now or never, is it the oil? No.

Its simply the Jews who are feeling unsafe with Iran having atomic capability. Jews are using crusaders in any way they like, simply because they made them.
Jews, crusaders, zionists are famous words to Judeo-Christian haters. This is empty post full of hatred with no objectivity at all.
Show evidence that Jews are pulling strings on crusaders. BTW, I didn't knew that Muslims in America are crusaders!
 
Saudi Arabia imekamilisha mipango ya kununua silaha za kivita zenye thamani ya US Dollar Billion 60 ikuwa ni ununuzi mkubwa kabisa wa silaha kuwahi kufanywa na taifa hilo kwa mara moja. Katika ununuzi huo Saudia itanunua Ndege za F-15, helicopter za AH-6M Little Birds, Apache na Black Hawk.

Wakati huo huo Marekani pia iko kwenye mipango ya kukamilisha uuzaji wa silaha zenye thamani ya
US Dollar Billion 11 kwa nchi ya Iraq. Hatua hii inakuja wakati ambapo hali ya Usalama nchini Iraq siyo shwari na kuna hatari ya nchi hiyo kuingia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe.

Je hawa Waarabu wakishanunua hizi silaha watazifungia ndani waziangalie au tutarajie mwanzo wa vita ya Saudia Vs Iran au hata Iraq Vs Saudia maana hata huko Iraq ambako Washia wamekamata madaraka baada ya US kuondoka hawako kwenye good term na Saudia kwa madai kuwa Saudi Arabia inawasaidia Wasuni wa Iraq ili kuuondoa madarakani utawala wa Kishia uliopo?

US announces huge arms sale to Saudi Arabia - USA - FRANCE 24

US pushes ahead with arms deal to Iraq - Middle East - Al Jazeera English
 
another stage on Desert tornado or hurricane is coming, this time Iran wanna suffocate alot.
 
Hahaha ahaha ahahah...ndio mambo hayo wauzie wote hao silaha na akili zao mbovu waendelee na shia VS sunni,Iraq Vs Iran,Saudi VsIran,Dubai all American,contract zote za mafuta Exxon Mobile etc,cha ajabu wanatumia billions to buy hizo weapons lakini wakimchokoza US au wasipokubaliana naye anawafyeka wote anaweka wengine anaowataka yeye,wajifunze kwa saddam aliyetumia trillions to buy weapons huku wananchi wake wakifa njaa...naona wanarudia same stu$%#6Kh na wataishia kama wenzao waliotangulia tuu.
 
Back
Top Bottom