U.N launches free Online University!!

Upto now, the university (University of the People) is not accreditted which means if you study there, your qualifications will not be recognized anywhere.

we cant start celebrating until it gets accredited.

La sivyo utapata degree isiyokubalika
 
Last edited:
Kweli accreditation bado, lakini imelaunch kama wiki mbili tu, sidhani kama wanaweza wakashindwa kupata acredition UN.
Mimi naona tuitumie kama suplementary eductaion fulani, kwa mfano kama mimi nasoma IT kwenye tradition University basi online napiga business kupanua upeo.
 
JAMANI tuwe waangalifu kabla ya kuanza kushabikia jambo fulani.

UN has nothing to do with this University.

Ni idea ya Myahudi mmoja mwenye pesa zake anayetaka kuwasaidia walalahoi sehemu mbali mbali duniani. Ndo kaianzisha na wala siyo UN....

Kwa sababu ni jamaa anayeanzisha hiki chuo kwa manufaa ya wengi nadhani anaweza pata acreditation ingawa wapo watakao mpinga tuu. TARATIBU INAWEZEKANA. Jamaa nadhani kajipanga harafu ana hela yake..siyo mtu mwenye njaa.

Its a good Idea. And I would support it. Ila itawanufaisha wale wenye uwezo wa kupata IT...as you know Africa..kata kama msaada ungetoka mbinguni..lazima kuna kikwazo cha kutuzuia kunufaika na huo msaada-lol
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom