U-maarufu

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,314
2,635
Kuna njia nyingi sana za mtu kuwa maarufu baadhi ni kujitangaza,lakini pia kuna njia za kupata umaarufu kwa haraka kama kufanya jambo lolote baya kiasi cha kuwashangaza wengi pia kufanya mema au mazuri kwa kiwango kikubwa, mie pia naweza kuwa mtu maarufu kwa kufuata utaratibu huo hapo juu,mfano mandela ni maarufu,ossama,martine king,au yule mchungaji alie wachomea ndani ya kanisa waumini kule uganda,nk nk lakini mie hapa nahitaji kujua zaidi faida za kuwa maarufu maana kunawengine wanatoa pesa nyingi ili wawe maarufu huwa wanatarajia nini?
 
wanatarajia kua maarufu...lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom