U-binadamu POPOTE na WAKATI wowote

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,593
443
1. Kuwa na mazoea ya kutenda mambo yaliyo mema kwa binadamu wenzako, tenda japo jambo moja tu lililojema kwa siku ... hebu jiulize umetenda mema mangapi kati ya jana na leo? Mabaya mangapi uliyo yatenda? 2. EPUKA kabisa kuwa na roho mbaya 3. Usipende wala usifurahie kuona au kusikia mwenzako anaingia katika janga ambalo kama ungemshauri, linazungumzika na kumuokoa maishani hasa wote mnapokuwa JIRANI AU KAZINI 4. Epuka kabisa kuwa na tabia ya kumzungumzia vibaya mtu ambaye hayupo machoni pako pasipo sababu, hasa UONGO, UMBEA usimsingizie 5. Muogope/Mheshimu MUNGU, MUNGU yupo yale yote mazuri na mabaya uyatendayo, mavuno yake utapata hapa duniani na baadaye kwa MUNGU kama sio leo kesho, na mengine mabaya/mazuri uyapandayo yatalipwa kwa wanao, wajukuu na wajukuu wa wanao
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom