tzdaima lavamiwa usiku wa manane, kibanda atimka

muhogomchungu

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
375
3
Kuna taarifa kwamba Ofisi za tzdaima limevamiwa usiku wa manane kwa ile inaosadikiwa ni kuwachokoza moja ya madhehebu ya dini nchini kwa kumuandika vibaya kiongozi wa madhehebu yao.
inasemekana muhariri wake alikimbia
 
haijaeleweka vizuri ...yaani waliovamia ni nani?wafuasi wa hiyo dini fulani na wanamuunga mkonon huyu kiongozi fulani kwa kuandikwa na gazeti fulani?
 
Mod, naomba member anayeitwa mhogo mchungu asiruhusiwe kupost kwenye jukwaa lolote isipokuwa jukwaa la dini tu.:tape:
 
6
Kuna taarifa kwamba Ofisi za tzdaima limevamiwa usiku wa manane kwa ile inaosadikiwa ni kuwachokoza moja ya madhehebu ya dini nchini kwa kumuandika vibaya kiongozi wa madhehebu yao.
inasemekana muhariri wake alikimbia
Katika hayo maandishi mekundu, kanuni za kisarufi hazijazingatiwa.
 
Today is a Fools Day!!!! Will be very smart to post my opinion in some posts, ha ha ha!!
 
Back
Top Bottom