Yaan wiki iliyopita mitaa ya fire -Dar nilikwenda kuulizia gear box ya 2L ice, nikaambiwa ni TZS 750,000. Leo nilipoenda wakasema ni TZS 800,000! nilipo shutuka wakasema kaangalie USD ikoje! kwamba mabo yamesha badilika! Jamani kikwete umetupeleka tusipo pataka!Hii hali inatishia maisha yetu walala hoi
Tulikuwa na nafasi hiyo Oktoba tu mwaka jana, tukafanya maamuzi na haya ndiyo matokeo yakeJamani tunasubili nini kuikataa hii hali? Taratiibu tunasogezwa kaburini na ccm,aaaaaaaaaah TUKUFWA KUNO TUKWIKETA une ngatele bha jama.