Tz tuna wachekeshaji?

Mbonea

JF-Expert Member
Jul 14, 2009
640
20
Wadau, ningependa kufahamu kama kweli Tanzania tuna real commedians coz tangu King Majuto apotee kwenye luninga zetu naona wamechepuka vijana ambao hawachekeshi ila wanaforce watu wacheke?

kwa mm nadhani Majuto alikuwa zaidi maana yule jamaa akisimama tu unacheka, je akiongea?

Aksanteni.
 
Ze comedy wamefuliaaaa kabisa yaani kama wiki iliyopita ndo wamedhihirisha baada ya kurudia vitu walivyovionyesha tayari, king majuto bado yupo bomba seme tu umri unamtupa mkono, kidogo na futuhi wanajitahidi, kule kwenye mizengwe sijui sana any way..........
 
Hapo umenena, vijana waliopo wanaforce watu watabasamu hakuna comedians kwa kweli.angalau hao vijana wa futuhi kidogo wanajaribu.
 
Natamani Majuto angekuwa kijana maana mzee anatisha.
 
mm nafikiri wangetulia kwanza ili wajiandae upya .
 
Ze komedi wamefulia na sasa hivi wapo kinyume na maadaili ya kwetu... baadhi na michezo yao hwa wanaongea lugha ambazo hazistahili kwa watoto na hata kama umekaana familia ama watu wazima waliokuzidi umri.

King Majuto bado yupo ktk fani ila kwa sasa huwa anabase zaidi ktk filamu kwenye luninga amejitoa sikunyingi nadhani hii kwasababu ya kimaslahi zaidi.Binafsi huwa nampenda Mzee Majuto kwasababu anajua maadili ni nn huwa anafanya michezo yake kuzingatia maadili ya Mtanzana.
 
Maana ya kufulia waulize Original Comedy! wanatukana wakunga wakati uzazi ungalipo! Wakumbuke kuna msemo usemao "hujafa hujaumbika".
 
Kazi kwelikweli,kampeni zinaanza,hivi majuto c amezeeka au bado tu,unaloooo babu yako hana kitu sasa
 
wachekeshaji wapo Tanzania tatizo lililopo ni ma-directors hawapo, hata huko kufulia kwa ze comedy ukichunguza kwa makini utagundua kua kuna vaccuum katika uwepo wa madirectors Tanzania, ndo maana hii inaathiri hata ubora wa filamu zetu Tanzania.
Wachekeshaji hawa wanafanya kazi katika mazingira magumu na vifaa duni.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom