Tz the land of the slow

bht

JF-Expert Member
May 14, 2009
10,336
1,860
Wakubwa mtanisamehe kama ntakosea, lakini katika pitapita yangu kwenye mitandao, nimekutana na comment ambayo kiukweli sijaipenda na sijui muhusika alimaanisha nini?

Jamaa aliwaaga watu wake kwenye facebook kuwa anaondoka. Mmoja wao akamuuliza anakwenda wapi? Jamaa akajibu kuwa siku hizi anafanya kazi Tanzania, ndipo muuliza swali akasema 'OOOH THE LAND OF THE SLOW'

Waungwana hicho hasa ndicho kilichonikera!

Slow hasa kwa nyanja ipi? kutenda, kufikiri, kuamua, au wapi jamani???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom