Tz na wanaharakati uchwara! Shenzi kabsa

middo

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
207
56
Nchi imenuka kila mtu anafahamu kila sehemu njaa, ajali zakizembe, ufisadi, ajira hakuna, rasilimali zinachukuliwa mchana kweupe tunaangalia kama filamu vile, uharibifu mkubwa wa ardhi usiokuwa na faida kwetu nenda Shinyanga uone artificial mountain zilzoletwa na uchimbaji wa kzamani wa madini, mishahara mibovu kwa wafanyakazi wa serikali especial walimu, madawa hakuna hospitalini na kila siku matatizo yanazidi yani tunaishia kusema afadhali jana halafu kuna pumbavu wanajiita eti "wanaharakati" wanamharakatia nani?

Utawasikia kila leo kwenye media wanainitiate movement zisizokua na mwelekeo zakishamba kabisa kama wanatafuta jina bora waongee waeleweke sio wabongo wanaweka matumaini juu yao, naamini kabisa 99.9% ni njaa tu wanatafuta kuwafisadi watz.

Watz kuweni makini na hawa wahuni na mkumbuke ukombozi auletwi na mtu bali na watu, kama kweli ni wanaharakati watupe mipango endelevu ya ukombozi sio kutishia kuandamana halafu wakiambiwa kuna al-shabab msiandamane wanakubal na wanajua uzushi sijui wanahongwa hawa?
 
Wanaharakati maslahi. Unadhan wasipofanya hayo hizo fedha za watu watazilaje? Wanatafuta mkate best!
 
Nchi imenuka kila mtu anafahamu kila sehemu njaa,ajali zakizembe,ufisadi,ajira hakuna,rasilimali zinachukuliwa mchana kweupe tunaangalia kama filamu vle,uharibifu mkubwa wa ardhi usiokuwa na faida kwetu nenda shinyanga uone artificial mountain zilzoletwa na uchimbaji wa kzamani wa madini,mishahara mibovu kwa wafanyakazi wa serikali especial walimu,madawa hakuna hospitalini na kila siku matatizo yanazidi yani tunaishia kusema afadhali jana halafu kuna pumbavu wanajiita eti "wanaharakati" wanamharakatia nani? Utawasikia kla leo kwenye media wanainitiate movement zisizokua na mwelekeo zakishamba kabisa kama wanatafuta jina bora waongee waeleweke sio wabongo wanaweka matumaini juu yao, naamini kabisa 99.9% ni njaa tu wanatafuta kuwafisadi watz.Watz kueni makini na hawa wahuni na mkumbuke ukombozi auletwi na mtu bali na watu, kama kweli ni wanaharakati watupe mipango endelevu ya ukombozi sio kutishia kuandamana halafu wakiambiwa kuna al-shabab msiandamane wanakubal na wanajua uzushi sijui wanaongwa hawa?

Mtazamo wangu nadhani ni hao hao ccm wanawatuma wajifanye kuandaa maandamano ili wakizuiliwa wakubali ili kuwanyima cdm nguvu ya kuandamana 7bu haiwezekani mzuiliwe msibishe hata kidogo nakuanza kuwasifia polis eti ho, ni haki zetu lakini kuna watu wana haki zao tutakuwa tunawasumbua na sidhani kwenye yale makundi yaliyopanga kuandamana kama kuna mtu ata mmoja ni mwana harakati wa ukweli
 
Hapo ndo nazidi kuamini watanzania hatupendani kila mtu anaangalia maslahi yake pekee
 
Polisi nao kuzuia maandamano hii pia haijatulia, inabidi kuwe na mwongozo kuhusu hili.
 
Mwanaharakati aliyebaki Tz nahisi ni mimi tu, ila sina hakika sana.
 
Pumbaf kabisa...afu eti wanajiita wanaharakati...wanaharakati misri huko au syria sio hao mchwara tu pumbaf kabisa
 
co magamba ni waoga tu kama mnaamua jambo unatakiwa ufanye coz huwezi ukasema maandamano yasitishwe kwa kuchekacheka tu na polisi a sure cku ile mi deusi aliniuzi sana
 
Back
Top Bottom