TZ na viongozi tunaowataka tafsiri isiyostahiki za media

raffiki

Senior Member
Jun 4, 2011
160
44
Vyombo vya habari nchini kwetu vinachangia kurudisha nyuma maendeleo nchini.Hivi kweli imefikia hatua sasa nchi yetu coverage kubwa na hot headlines za media zimekuwa ni juu ya hali za afya za viongozi na majina ya nani anafaa kuongoza au kua kiongozi. Media zimeacha mambo ya msingi juu yaa hali ya wananchi na matatizo yao.

Je hii ndio Tanzania tunayoitaka.
 
Kazi kubwa ya media ni kuleta maendeleo kwa jamii ukiachilia kuburudisha..... kwa hapa kwetu Tanzania media ni kwa ajili ya siasa na wanasiasa. Kila siku ni habari za Wanasiasa wanavyoshambuliana kwa malengo yao binafsi. Hakuna media inayofundisha wala kuleta maendeleo kwa jamii. Huko ni kuchezea taaluma ya habari.
 
fafanua japo kidogo jinsi vyombo vya habari vinavyoweza kuleta maendeleo kwa wananchi.
 
Kuibua na kujadili changamoto zinazo wakabili wanawanchi na nchi kwaujumla.,aiishii hapo,zinajukumu pia la kuhakikisha changamoto hizo zinafanyiwa kazi na wahusika ambao ni serikali,ikiwezekana kushirikisha wataamu mabli mabli ili kuonesha njisi gani changamoto hizo zinatatulika.

Sio kua zisiandike habari za kuburudisha na matatizo kama za ugonjwa,la asha issue hapo ni kipaombele leo hii kila siku vipaombele kwenye news ni mienendo binafsi ya viongozi wachache. That's nonsensical

Unaukumbuka wimbo wa bongo flava wa Afande sele.tena kwa kutaja taja tu majina.........mistari isiyo na vinaaaa......?Ndio media zinatupeleka huko sasa.
 
Vyombo vya habari nchini kwetu vinachangia kurudisha nyuma maendeleo nchini.Hivi kweli imefikia hatua sasa nchi yetu coverage kubwa na hot headlines za media zimekuwa ni juu ya hali za afya za viongozi na majina ya nani anafaa kuongoza au kua kiongozi. Media zimeacha mambo ya msingi juu yaa hali ya wananchi na matatizo yao.

Je hii ndio Tanzania tunayoitaka.

Ni muhimu sana kwa vile niwapiganiaji wanaumwa. Tunapenda kujua magonjwa yao ni ya kiasili au yaliyotengenezwa na binadamu waliokwenye nafasi
 
Wapiganiaji wa nini?wameshapigania nini?wamekusaidiaje kwa kupigania hayo?Je wamefanikiwa katika kupigania hayo?kama ndio wamefanikisha nini wakati matatizo yanaongezeka kila kukicha?wamechukua hatua gani kwa kupigaia hayo yasiyofanikiwa?
 
Back
Top Bottom