TZ loses battle over Serengeti road project

lukindo

JF-Expert Member
Mar 20, 2010
8,466
9,028
Tanzania's appeal to block a case against the construction of a highway across the Serengeti National Park was dismissed on Thursday by the East African Court of Justice.

The Appellate Division of the regional court ruled that EACJ has full jurisdiction to hear the case because the park was part of the transnational ecosystem straddling Kenya and Tanzania.

Reading the ruling at the court chambers on Moshi Road, judge James Ogola said matters pertaining to environmental conservation cut across nation states and are included in the EAC Treaty.

Source: TZ loses battle over Serengeti road project *- Africa*|nation.co.ke INX.jpg
 
Hawa ndugu (wakenya) mbona wako interested sana na affair za bongoland??
 
Hawa ndugu (wakenya) mbona wako interested sana na affair za bongoland??
ndio nami nimeikuta hii habari huko na sijui ni kwa nini haijatokea kwenye media zetu hapa!

Sijui tufanyeje, respond or offend!?

 
Sisi mbona hatujapinga mradi wao wa Lamu kwenda South Sudan na Ethiopia
hili ni taifa ambalo tuliaminishwa miaka mingi kuwa wana ukabila na hawapendani lakini ndugu yangu, likija suala la masilahi ya kitaifa, hakuna Mluhya, Kamba, Jaluo, Kikuyu, Kalenjin nk, wote wanakuwa kitu kimoja.

Hapo kwenye red, wasiwasi wangu ni kuwa TZ tunaanzia wapi kupingana nao (hata mataifa mengine)?
Hii ni kwa sababu huu mradi umehubiriwa kama ukombozi kwa wakazi wa Kaskazini katika usafiri lakini wengine miongoni mwetu wanasema lengo halikuwa zaidi huko bali ilikuwa ni masilahi ya watu fulani fulani ambao wamejenga hotels huko Serengeti.

 
Hawa wakenya wanatuchezea wanavyotaka . Sijui usalama wa nchi unafanya nini ? Natamani lowassa awe rais ili awazibiti maana anafahamu michezo yao wanayotuchezea.
 
Afadhali, maana km sijakosea mkuu wa kaya alikua kashabariki ujenzi wa hyo barabara. Ingekua mbaya sana kwa nyumbu wanao migrate kwenda kenya then kurudi tz. Wanasiasa wetu hopeless
 
Afadhali, maana km sijakosea mkuu wa kaya alikua kashabariki ujenzi wa hyo barabara. Ingekua mbaya sana kwa nyumbu wanao migrate kwenda kenya then kurudi tz. Wanasiasa wetu hopeless
"we Mkenya, au!?" ...angalia usije ukaambiwa hivyo na wale wasiopenda kufikiri

 
Afadhali, maana km sijakosea mkuu wa kaya alikua kashabariki ujenzi wa hyo barabara. Ingekua mbaya sana kwa nyumbu wanao migrate kwenda kenya then kurudi tz. Wanasiasa wetu hopeless

Mimi nadhani kuna zaidi ya nyumbu hapo. Sidhani motive iliyowafanya wakenya wakafungua kesi ni issue ya nyumbu peke yake...Kuna conflict of interest hapo. Wameshaona bao ambalo wanataka kufungwa kwa utalii kuimarika Serengeti na hivyo Tsavo kukosa soko. Hawa hawa ndio waliokuwa wakiipigia chapuo na kuitangaza serengeti ilipokuwa kwenye buku la maajabu saba ya dunia...eti njoo tsavo uone serengeti..... inanikumbusha ya njoo kenya uone Kilimanjaro.

Ingekuwa ni enzi za mwalimu..... aghh!! kutawalliwa na Wakenya noma.
 
Si mlishabikia EAC?
Hata hivyo hukumu haijasema barabara isijengwe, ila mahakama ya east africa inaruhusiwa kusikiliza shauri hilo "EACJ has full jurisdiction to hear the case"
 
Si mlishabikia EAC?
Hata hivyo hukumu haijasema barabara isijengwe, ila mahakama ya east africa inaruhusiwa kusikiliza shauri hilo "EACJ has full jurisdiction to hear the case"

Tunashukuuru kwa ufafanuzi lakini tunachobishania humu ni base ya hyo kesi yenyewe na walioifungua. Ni wazi wakenya wamejipambanua kuwa wapinzani wakubwa wa Tanzania kwenye International Affairs na hata zile zisizowahusu... Mnakumbuka ombi la Tanzania kuuza meno yake ya tembo yaliyolundikana kutokana na kukamatwa kwa majangili? tunaridhika na sababu walizozitoa?

Mimi nadhani wanatuona vilaza sana na ningekuwa rais wa nchi hii regardless kesi iliyopo mahakamani ningeamuru ujenzi uanze mara moja. Hao wamarekani wanaochafua hali ya hewa kwa viwanda vyao na waliokataa Kyoto protocol wamepelekwa mahakama ipi? na nani? mbona athari za wanachokifanya zinakwenda beyond their territorial boundaries zao??

Cha ajabu hata humu pana harufu ya ushabiki kutoka kwa watanzania wenzangu kisa ni failure kwa CCM. Sawa hata mie nisiyeipenda CCM linapokuja suala la kitaifa kama hili tuwe pamoja na tuishinikize serekali ianze mara moja ujenzi huo kwani wakenya kitu gani??
 
Similar controversy rages regarding construction of southern by pass which president Kibaki commissioned a few days ago. The enviromental watch dog NEMA is categorical that the by pass which passes near Nairobi National park be re aligned to ensure migration of animals is not affected. The govt is listening and consulted experts on issue.
 
Si mlishabikia EAC?
Hata hivyo hukumu haijasema barabara isijengwe, ila mahakama ya east africa inaruhusiwa kusikiliza shauri hilo "EACJ has full jurisdiction to hear the case"
ni sawa mkuu ila katika masuala yanayohusiana na athari za muda mrefu mara nyingi tunajichanganya kwenye maamuzi kwa kuangalia interests za muda mfupi kama ilivyo kwetu na wakenya kwa sasa.

Wataalamu wanasema ziwa Chad lilikuwa na ukubwa wa nchi ya Rwanda lakini shughuli za binadamu sasa hivi zinakaribia kulikausha. Hii itusaidie pia kuangalia mito na maziwa yetu ambayo kina kinashuka kila siku kwa sababu ambazo tunazielewa fika!

hapa kunahitaji busara maana Serengeti inaweza kuwepo lakini haya majamaa yakaendelea kufaidi kama yanavyofaidi Mlima Kili, Ngorongoro na hata Ziwa Victoria ambalo wenyewe wana sehemu ndogo

 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom