FIDIVIN
Senior Member
- Aug 4, 2010
- 187
- 41
Does GDP growth project people's welfare?..HELL NO...uchumi umekua by 7% lakini hebu angalia maisha ya watanzania jinsi wanavyoteseka na mfumuko wa bei..Iyo GDP growth inafaida gani kama bei za bidhaa zinazidi kupanda at the same time TZS inazidi kupoteza thamani..
Hivi waTZ naona siasa zimetupotezea uzalendo kweli, kila kitu tunawaza ki-CCM/CDM.
Kupinga tu kila wakati.