Pweza Dume
Member
- Apr 11, 2011
- 43
- 7
Katika ufisadi mheshimiwa rais wetu naona speed yake inatuangusha wengi na kutuhuzunisha. Nadhani hili bila ya yeye kulifanyia kazi litakuwa doa katika utawala wake. Kuhusu umeme subiri mwaka huu ukiisha nadhani matatizo ya umeme yataisha kabisa. Vile vile nimefurahi serikali imesikia kilio chetu cha kufufua mradi wa Stieglers gorge ambao utatokomeza kabisa tatizo la umeme nchini kwa kipindi cha muda mrefu. Hivyo katika umeme I am optimistic but katika ufisadi nina shaka napo.
hawajafufua bali wana mpango wa kuundeleza huo mradi wa stieglers. swali. je,wana fedha za kuuendeleza au tunamtegemea cameron?