C.K
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 394
- 162
Habarini jamani... Naomba mwenye source ya historia ya kiwango cha kubadilishia fedha TZSH vs USD hasa kwa mwaka 1961 tulipopata uhuru anisaidie.., nime-google mpaka nimechoka. Kwa mfano, kwa sasa 2012, 1USD = 1600 TSH, je mwaka 1961 ilikuwaje? na miaka mingine pia hasa ya zamani.., 1961 - 2000 fulani hivi.
NB: Lakini nataka sana kwa 1961
NB: Lakini nataka sana kwa 1961