Jamaa na mkewe walikuwa wakivunga watoto pindi wanapotaka kula uroda, jamaa humuita mkewe:" mama nanihii niletee typewritter yangu", basi mama anaenda na mambo yanaendelea. Siku moja jamaa karudi mbio akamwambia mkewe amletee typewritter yake, yule mama kutokana na kazi kidogo alichelewa, kufika chumbani akamkuta jamaa kalala, akamuuliza vipi? akamjibu "leo basi nimeandika kwa mkono".