Type za migao

molely molly

JF-Expert Member
Nov 28, 2011
317
30
wameleta mgao wa maji timekubali ,wakaleta mgao wa umeme tikauzoea wakaleta pia mgao wa mafuta tikachukulia poa haikutosha wakaleta mgomo wa madaktari fresh na walim wakagoma poa lakini chonde chonde jaman wasije tuletea na mgao wa ku*a au mgomo wa nyapu hapo hatutaelewana kabixa maana hizo ndizo zinatuxaidiakupunguza mawazo ya migao yote
 
Mgao waunyumba ndio unashika kasi tangu gridi ya tupo wangapi imeanza kufanyakazi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom