hawa watu ni kama wana matatizo ya akili-maana wanazuia pombe,lakini wanafanya uchafu mwingine kwa sana tu,nashindwa kujua-na serikal haijashika hao troublemaker waliochoma hizo bar mpaka sasa-then bado wanadai eti Tanzania kuna amani,kuna umoja na undugu-mbona mi naanza kuona hayo mambo hayapo tenadaaah siendi tena niliambiwa bia za huko ni baridi masaa yote kwani hawana mgao wa umeme, nikataka nikapige ndovu baridi visiwani.... Ila hawa jamaa wanafiki tu mbona club za mnazi zinajaa?
kwani kuna uhusiano kati ya mabaa na makafiri..? inamaana makafiri ndio walevi?