Two Indian police suspended over Tanzanian student attack

Wote ni wale wale.Ilibidi tuache hata kununua vitu toka kwao

Hapana sio kweli mkuu , kama jisni mtanzania mwenzetu alivyo kwenda india kutafuta maisha , na ndo jinsi ilivyo kwa hawa wa kwetu , wako kwa ajili ya kutafuta maisha , usilipize ubaya kwa ubaya . binadam hatufanani
 
Hapana sio kweli mkuu , kama jisni mtanzania mwenzetu alivyo kwenda india kutafuta maisha , na ndo jinsi ilivyo kwa hawa wa kwetu , wako kwa ajili ya kutafuta maisha , usilipize ubaya kwa ubaya . binadam hatufanani

We wakakupime akili

Wanatafuta maisha ndiyo,kuna mtanzania alishawahi kuwabagua au kuwadhalilisha?

Yule wamemfanyia nini kule?

Acha kutetea ujinga,na siku nikipata binti wa kihindi nitam.....paka na hakikisha anakufa!
 
We wakakupime akili

Wanatafuta maisha ndiyo,kuna mtanzania alishawahi kuwabagua au kuwadhalilisha?

Yule wamemfanyia nini kule?

Acha kutetea ujinga,na siku nikipata binti wa kihindi nitam.....paka na hakikisha anakufa!

You don't deserve the einstein nickname uliojipachika

Einstein himself said racism is a disease of white people . Haijalish kuwa sis tumeshawah kuwabagua au lah , ndo maana we ukazaliwa mweusi ye akazaliwa indian ..! Huwezi muhukum binadam mwezio kwa kosa alilofanya mtu aliyeko india ndugu ..
 
nilizoea kwenda kunyoa kwenye saluni yao fulani. sitakaa nikanyage pale hata siku moja tena.
I hate Indians
Huo uongo wao kusema wame m Suspend Polisi ni wa kipuuzi sana
Natangaza vita na wahindi
sijui kwa nini nina hasira hivi. da! hivi mhindi mmoja akigonga mtu unashika kila mhindi anayepita kisa wanafanana? wapuuzi sana hao jamaa.
 
they are not human being smh their animal wasengerema wakubwa huku kwetu yanaishi kwa raha kama mi bwanyenye mingine imezeekea kwetu hatuwabagui kwanini kwao wanaua watanzania wabaguzi wa rangi sana maku zao wangese enzi za babu kifimbo tungesha yatimua kwetu manzishe yana nenepeana huku afu kwao yana bagua blacks wasengerema
 
It is very fortunate that Tanzanian embassy in India has acted. In business-as-usual past government, they would do nothing. Our government has to change an attitude that ambassadorship is a post for millitary/police retirees and cadre deployment. It should be an opportunity to serve Tanzanians abroad. When our African leaders meet in Ethiopia for AU talkshop and window-shopping, they should once in a while talk about serious issues that affect Africans in foreign lands. It is high time for Africa to value and honor life and dignity.

Thanks to honorable Zitto Kabwe for rising the issue in Parliament.
 
RobyMi said:
You don't deserve the einstein nickname uliojipachika

For which reasons plonker?
Hating racist?

Einstein himself said racism is a disease of white people.

Don't bother youngfella,you know nothing about Einstein

Do you know that even Einstein himself was upholder of Racism?

Haijalish kuwa sis tumeshawah kuwabagua au lah , ndo maana we ukazaliwa mweusi ye akazaliwa indian ..! Huwezi muhukum binadam mwezio kwa kosa alilofanya mtu aliyeko india ndugu

Kwahiyo unawatetea wenzako?
Na mtarudi kwenu wabaguzi wakubwa nyie
 
Mbaya ni kwamba dada yetu alifika eneo la tukio dakika 20 baadae , aliyesababisha ajali ni mwingine kabisa , India imekua na matukio ya aina hii tangu siku sana , walishawah kuwafananisha wa nigeria na wanyama . Nasikia hata watu wenye asili ya kihindi lakin hawajazaliwa india , wakirud india wanabaguliwa .. sasa nashindwa kuelewa hawa watu , wanataka hii dunia iwe ya kwao yote ..? hawajatosheka tu pamoja na kuwa taifa lenye watu wengi zaid dunian ( 1.2bil ) ..?
Aise nimekaa India ya Kasikazini Miezi 5, kule wengi weupe tofauti na Kusini wana mchanganyiko sana. Ukitoka kila mtu anashangaa. Nikawa sitoki.

Nilipokuta tafiti zangu haziendi nikaandika barua ya kuondoka haraka, maana sikuwa na raha kabisa. Ila upande wa magharibi kuna jamii ya Wazanzibari na wako kama sisi kabisa.

Nilikwenda kule na nikakuta bora ndo ningepangiwa kufanyia utafiti wangu. Nyaani kulikuwa na ushirikiano mkubwa sana.

Pia, wahindi weusi wanalalamika sana. Mmoja aliniambia kuwa tunatengwa sana na ndo wafagizi na wabeba mafaili ofisi. Wachache sana wanafanya kazi kama maofisa wa serikali.
 
Mimi kuanzia nilipopata taarifa hii nimeacha kununua bidhaa na huduma yoyote kutoka kwa muhindi yoyote hapa tanzania...Muhindi sio mama yangu wala baba yangu.... Nilikuwa natumia mtandao wao fulan wa simu nimeitupa laini... Pafyumu Zao zote nimetupa.... Kariakoo sitakaa niende kwenye maduka yao kamweeeeew...
 
Cheki hawa Waafrika walivyochezea kichapo huko Delhi...tena kwenye kituo cha polisi.


Noma sana. Hapa kwetu wanakuja kila siku na wanaishi kama maboss sisi kama vijakazi. Ndio maana mimi ni mbaguzi wa rangi
 
Kwanini hawa wasengerema tusiwanukishie na sisi huku kwetu? Mungu anisamehe lakini nawachukia sana hawa ponjoro magabachori
 
Nakwazika sana nikisikia Mtanzania mweusi akisema Wahindi hawa Watanzania ni ndugu zetu na tusiwabague. Laiti mngejua mambo yanayoendelea kwenye jamii zao hapa Tanzania kila mtu angesaga meno na kutoa machozi. Hawa watu ni washenzi hakuna kuuma maneno. Watanzania tunadharauliwa na wageni hapa nchini kwetu Kama sisi ndio tumekuja hapa. Inafika wakati tusimame pamoja na kukemea ubaguzi wa Raia Asili wa Tanzania kokote pale duniani. Tuwe Wazalendo....kuipenda nchi yako na kuipigania sio UBAGUZI bali ni UZALENDO.
 
Walete ujinga tu hao wahindi wauone moto wake, maana sisi humu tumeshika mpini...
Tunssubiri waseme 'su'!
 
Back
Top Bottom