AirTanzania
JF-Expert Member
- Mar 17, 2011
- 1,139
- 1,033
Wakuu habari za masiku, Juzi nilipokuwa nasinzia sinzia , hafla nikasikia njemba 2 zikimtumia email Dj wa show kwenye station ya radio kumuomba ampigie g/f kum-wish happy birthday. Kumbe na mwengine pia akawaametuma email kwa dj na kumuomba the same request kwa same woman sikilizeni hapo