Twiga wa Tanzania aliingizia Jiji la Karachi zaidi ya USD 1.8Billion

Halafu Kagasheki anasema eti idadi ya watalii ni ndogo sana,vivutio vya wanyama sio issue tena mazoo yametapakaa dunia nzima haswa nchi za waarabu kwa sababu ya sera za CCm uza kila kitu na nchi ibaki kipara
najaribu kufikiria miaka mingine mitatu ijayo si hata mlima Kilimanjaro wataung'oa wakauuze
halafu hakuna ubunifu mwingine vivutio vile vile miaka nenda rudi beach,vilima,mabonde,mito ,maziwa utamaduni vyote vimeachwa tumebaki wanyama wanyama samaki vipi bwana

Umeongea point sana!
CCM wanakula na kuuza minofu ya Taifa!...
 
USD 1.8 Billion?????? 1.8 billion x 1600= Tshs 2.9 Trillion. I think that is not for only one year. Madini yetu yanaingiza bei gani kwa mwaka??? If this is true we have a long way to go.
 
Misamaha ya kodi Tanzania inazidi 2Trillion! Kwenye madini tunapoteza zaidi ta 3Trillion (Kulingana na ripoti ya Kamati ya Bomani).. Bado sehemu nyingine nyingi!..
 
Halafu Kagasheki anasema eti idadi ya watalii ni ndogo sana,vivutio vya wanyama sio issue tena mazoo yametapakaa dunia nzima haswa nchi za waarabu kwa sababu ya sera za CCm uza kila kitu na nchi ibaki kipara
najaribu kufikiria miaka mingine mitatu ijayo si hata mlima Kilimanjaro wataung'oa wakauuze
halafu hakuna ubunifu mwingine vivutio vile vile miaka nenda rudi beach,vilima,mabonde,mito ,maziwa utamaduni vyote vimeachwa tumebaki wanyama wanyama samaki vipi bwana

My sister, you have every right to be afraid. Shika sana ulichonacho!
 
History is full of serikalis, no matter how they were/are:

Adolph Hitler
Idd Amin
Marcos...
Mobutu

and the list is endless..

Yes, it is still a government (basing on your definition and perception)
 
hilo wala halinishangazi sana maana twinga wetu wanavutia sana kwa kifupi serikali ndio dahifu ilitakiwa kuwarudisha nje ya kuhangaika na CHADEMA na wafuasi wake wangekuwa wanahangaikia hawa twinga wetu na wanyama waliochukuliwa kinyamela
 
Wangetumia 2% tu ya nguvu wanayoitumia kupambana na CHADEMA Tanzania ingekuwa zaidi ya Geneva!
 
Kuna taarifa za kuaminika kutoka kwa mmoja wa maofisa wa Safari Park iliyopo Gulshan-e-Iqbal huko Karachi Pakistan kuwa tangu wapokee Twiga na wanyama wengine kutoka Tanzania wamefanikiwa kuongeza idadi ya watalii wa ndani na nje kwa zaidi ya 260% kiasi cha kufanikiwa kukusanya zaidi ya USD 1.8Billion kwa kipindi cha mwaka mmoja!.

Nimejiuliza: Bado Serikali ya JK ina credibillity ya kuendelea kuitwa Serikali?

Kikwete anahusika nini hapo suala ni kwamba je sisi watanzania tunacredibility ya kuendelea kujiita watanzania? suala hapa ni uzalendo wa watanzania wenyewe, siyo kila kitu Kikwete, mtu anashinda kutwa kijiweni jioni hana chakula anasema hii serikali ya JK bana, sasa ulitegemea kunaserikali ya kulea watu, fursa zipo mnatakiwa kuzitumia. Hili la twiga na wannyama wengine ni vyema sisi kama watz tujitathmini wenyewe kwanza juu ya uzalendo wetu na rasilimali tulizonazo.
 
Nadhani mtakumbuka juzi Kikwete akihutubia taifa alisema anawashangaa wanaotaka mabaki ya mjusi wa kale yarudishwe. Kwa maoni yake hata yakirudishwa 'hawana manufaa nayo moja kwa moja'. Kwa mantiki hiyo, hata hao twiga waliojazana mbugani na waliochukuliwa, 'hatuna manufaa nao moja kwa moja'! Kwake, wawe nje au ndani, it doesnt matter!
hii kwangu pia ingefanya kazi kama tu hao wanyama wangeuzwa kihalali na hizo hela zingejenga mahospitali na barabara, kwa kifupi wangeuzwa kwa faida ya Taifa. Tatizo linakuja pale ambapo mauzo hayajulikani yameishia wapi. mbona tunao tembo wengi wamebaki, wangezaliana tu. hatuhitaji mabilioni ya tembo ili watalii waje, kwani huko Pakistan wanao wengi kushinda sisi tuliowauzia?
 
Kikwete anahusika nini hapo suala ni kwamba je sisi watanzania tunacredibility ya kuendelea kujiita watanzania? suala hapa ni uzalendo wa watanzania wenyewe, siyo kila kitu Kikwete, mtu anashinda kutwa kijiweni jioni hana chakula anasema hii serikali ya JK bana, sasa ulitegemea kunaserikali ya kulea watu, fursa zipo mnatakiwa kuzitumia. Hili la twiga na wannyama wengine ni vyema sisi kama watz tujitathmini wenyewe kwanza juu ya uzalendo wetu na rasilimali tulizonazo.

Kujiita Mtanganyika....ukija mTANZANIA ni kuwapaka matope Wakina Maalimu huko.
 
Kikwete anahusika nini hapo suala ni kwamba je sisi watanzania tunacredibility ya kuendelea kujiita watanzania? suala hapa ni uzalendo wa watanzania wenyewe, siyo kila kitu Kikwete, mtu anashinda kutwa kijiweni jioni hana chakula anasema hii serikali ya JK bana, sasa ulitegemea kunaserikali ya kulea watu, fursa zipo mnatakiwa kuzitumia. Hili la twiga na wannyama wengine ni vyema sisi kama watz tujitathmini wenyewe kwanza juu ya uzalendo wetu na rasilimali tulizonazo.

Sijui kama umejiridhisha na ulichofikiri kabla hujakiweka hapa mbele za watu!.. Kwani maana ya kuwepo Serikali ni nini? Basi ivunjwe tujitawale wenyewe tena tutafanya vizuri kuliko tukiwa tunaongozwa!.. Kwanza mafisadi wote na wale viongozi wezi(Wengine ni wateule wa JK) tungewachoma moto hadharani...
 
wamenunua wanyama kihalali kwa kufuata taratibu zinazokubalika kimataifa (KAMA\IF) na kitaifa, sisi watanzania hatana mazoea ya kitembelea mbuga zetu......wao wamewarahisishia watu wao kwa nini wasifanikiwe kwa kitu ambacho sisi hatukifanyi??? wao wamefanikiwa Tunalia wivu

Na wewe JKT uliyoipitia hata haina manufaa na wewe.Eti wamefata taratibu za kimataifa,what a ****!
 
Mtoa hoja ndiye yule aliyesota rumande kwa tuhuma za Mauaji ya Jembe langu Chaha Zakayo Wangwe au majina tu yamefanana?
 
Back
Top Bottom