Twenzetuni IRAN

kunafaa huku sio mchezo hili nalielewa zamzani, kuna jamaa mmoja alikuwa Usalama wa Taifa mika ile ya 70-80 hapa zanzibar alikwenda huko na kurudi na toto moja lakirani alikuwa hatari tulikuwa tunammezea mate tukipita pale nyumbani kwake kuna badhi yao watu wakipita pale wanangalia MENU na kula wakifika nyumbani au vyumbani mwao kwa uzuri wa yule mwanamke.
 
bado yuko naye?
 
sema wewe nikisema mimi naambiwa nina kasumba ya waarabu lakini wairan si waarabu

Nadhani kuna umuhimu tukaendelea kuestablish cultural relationship with Iran

Its for our own good maan a pEACE cOPS TUNAOLETEWA sikuhizi hawatazamiki

zanha_fereshteand_p_555004.jpg

zon047.preview.jpg

unaongelea size zao XXXL au sura
 
Naini anataka kwenda sehemu ambako hujui totoz zinapatikana wapi? kila demu amejifunika gubigubi nani anataka ujinga huo..aaarrrggghh..

Wanapatikana kwa ku-sign MUT'H (Contract) unawzakufanya contract ya mwezi Mmoja, tatu, sita au mwaka, ikisha contract unaweza kurenew, hivi ndo wanavypatikana hawa mabint wa kiiran, hakuna haja ya condom, bado wazungu wanasumbuka kupeleka ukimwi kule irani, Mullahs wakongangari sio kamaviongozi wetu wa kiafrika wameshatutelekeza, ukimwi kilamtu. Rafiki yangu nimemuacha huko bado anabembea.
 
basi kama ndio hivyo mimi niko tayari kuwa shia kisha nikafanye hiyo Mu'taa

ahhh khatari namna hii
 
Back
Top Bottom