Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,438
- 1,026
Unatakiwa kufikisha at least ndizi 50 kutoka kashozi kwenda katerero,umbali wa kilometa 100.Kashozi kuna mzigo wa ndizi 300 na usafiri uliopo ni wa kutumia Ngamia.Kwa kila kilometa 1,ngamia huyo anakula ndizi moja na mzigo mkubwa anaoweza kubeba kwa wakati mmoja ni ndizi 100.Utafanyaje ili kwa kumtumia huyu Ngamia ufikishe at least ndizi 50 kule gulioni katerero?(Assume huyu Ngamia anakula ndizi continuosly,e.g 0.2km=0.2Banana).