Twende wa mwisho mchawi

Amosen

Member
May 28, 2012
45
8
TUCHEZE GAME INAITWA....Last man standing!!
MASHARTI ……...!!
1. Hakuna matusi!
2. Unaandika sentens kwa kuanzana neno la mwisho la mchangiaji aliyepita...mfa no "Mama anapika" kama ww ndiye unafuata unaanzana neno "anapika".....A napika chakula cha wafungwa......! ! mwingine ataanza na neno"wafungwa"..... ..wafungwa wengi wana ukimwi........! ! atakayekuwa wa mwisho ndiye mshindi......!!
.....NICE GAME....!
 
Ninawasiwasi na akili yako, huu mchoze bado unaendelea kama vipi kaucheza tupunguze thread zisizo na msingi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom