Twende kanisani;ibada njema

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,049
Biblia inasema tusiache kukusanyka kila iitwapo leo
ukiwa kama mpendwa mtumishi wa bwana
twende kanisani tukamwamudu mungu siku ya kesho
nawatakia ibada njema
 
Asante nawe nakutakia ibada njema, usisahau kuwaombea wagonjwa, wasiojiweza na nchi zilizokumbwa na majanga!
 
Ubaguzi huo,mbona sisi wa jumamosi hukutukumbusha wala kututakia ibada njema?
 
Ubaguzi huo,mbona sisi wa jumamosi hukutukumbusha wala kututakia ibada njema?

jamani samahannini si ubaguzi

si mnajua mambo ya network mpaka usiku ;ibada inakuwa ishaisha
tutakumbukana nexty week nawapenda na Mungu awabariki
 
Back
Top Bottom