twende india tukashuhudie

libent

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
382
84
nasikitika kuona kiongozi anaumwa maralia anapelekwa india kufanyiwa matibabu hivi wanapelekwaga kweli huko india au wanatuzuga halafu huu mchezo wa kuwaandama viongozi wanaopigania haki ya raia kunyamazishwa kufanyiwa vibaya sio haki kabisa
 
Ulikuwa unataka uugue wewe. Acha kuingilia mipango ya mungu.
 
Nilikuwa napita tu, baada ya kuwatathmini wote kuanzia mleta mada na walioitikia, nimeona niondoke, ngoja niwaache mujibazane wenyewe kwa wenyewe, ngoma inogile. JF bwana!!!!!
 
Nilikuwa napita tu, baada ya kuwatathmini wote kuanzia mleta mada na walioitikia, nimeona niondoke, ngoja niwaache mujibazane wenyewe kwa wenyewe, ngoma inogile. JF bwana!!!!!
Hapa inabidi na wewe ujitoe fahamu tu umkaribishe...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom