Twaomba utupe vichaa, wale watakaotufaa!

Na sense watu kukata tamaa kwa kiasi flani. Kubadilisha fikra za Miafrika si lelemama.

Ukisikia watu wanamtajataja sana mungu ujue either hawajui cha kufanya na wamekata tamaa au ni maganga-ongo wanajaribu kuwashikia watu akili.

Mungu na shetani ni wewe mwenyewe binadamu, unapofanya jambo zuri unakuwa mungu, unapofanya jambo baya unakuwa shetani so to speak.

Kwa hiyo tuache hizi dua na kufanya kweli.

After all si ilisemwa "god helps those who help themselves"? which is just a subtle way of saying god is an illusion.

Kill the god idea first, then you will see things in their right perspective and deal with the situation squarely.
 
Utujalie wabunge Vichaa, watakaotambua mamlaka yao na kwa Ukichaa wao waifurumushe serikali inayopingana na Matakwa ya Wananchi, Wabunge vichaa watakaotambua kwamba wanapaswa kuwasilisha kilio cha wananchi na si kilio cha Familia zao, utupatie vichaa ambao hawatajali kama wakiiangusha Serikali na wenyewe wataanguka, Wabunge vichaa watakaoweza Kuiadabaisha Serikali na si kuipigia Makogi, Utupatie Wabunge ambao wanatambua kwamba hawawajibiki kwa Serikali, wataotambua kwamba wao hawako chini ya Rais wala waziri Mkuu

Baba tunaomba hayo kwa Sababu wabunge tulio nao leo, wanadhani wako Bungeni kutetea Seriakali pale inapobanwa, wako tayari hata kuzunguka nchi kuyaremba maovu ya Serikali wanayopaswa kuiadabisha, Wabunge wabaojali zaidi maslahi yao binafsi na Chama, wabunge Vihiyo kama Chitalilo Mungu usitupe, Wabunge waimba kwaya Mungu utuepushe nao, wabunge wa Mipasho ee Mungu utuepushie, Wabunge wenye kusinzia bungeni Mungu uwapige marufuku kukanyaga.

Ee Mungu hata kama hutatubalishia Serikali, tuangalie sisi Wananchi kwa Jicho lako la Huruma, utujalie Bunge lenye Nguvu ambalo litaogopwa na Serikali

Amina
 
Tanzania hamna vichaa mnaowatafuta.

Watu wote wanamuogopa mungu, mungu ambaye hayupo.

Wabunge machachari wa upinzani wanaotegemewa wanawaimbia sifa mafisadi wa CCM na system yao.

Kichaa atoke wapi? Siku ma Atheist watakapokubalika bongo mimi narudi kuwaonyesha kichaa, ama sivyo itakuwa persecution tu.
 
Ewe M/mungu usituletee vichaa wanao kula ruzuku kama mchwa kwa kisingizio cha kujilipa "madeni" kama Freeman Mbowe hatufai!

Ewe M/mungu usituletee vichaa wababe wenye kufukuza wenzio bila sababu za msingi kama "Dr" Slaa hatufai!

Ewe M/mungu usituleteee vichaa "wazee" kama Edwin Mtei wenye kubaka demokrasia kweupe huku wakijidai wanapigania demokrasia hiyo hiyo hawatufai!

Ewe M/mungu usituletee vyama vyenye kugawa wananchi kwa ukanda na ukabila kama Chadema hakitufai!

Ewe Mungu usituletee vichaa "wahandasi" wa habari wenye kutumia vibaya kalamu zao kwa manufaa ya matumbo yao kama Mwanakijiji na Kubenea hawatufai!
 
Amin!
 
Ewe M/mungu usituletee vichaa wanao kula ruzuku kama mchwa kwa kisingizio cha kujilipa "madeni" kama Freeman Mbowe hatufai

Ee Mungu usituletee wenye timamu kama Masatu ambao kwao Uchimvi na Fitina ni kama mlo wa Mchana

Ewe M/mungu usituletee vichaa wababe wenye kufukuza wenzio bila sababu za msingi kama "Dr" Slaa hatufai!

Eee Mungu hatuhitaji Viongozi werevu ambao kwa kulea maadili machafu ndiko kumetukisha hapa, utupatie Vichaa kama Slaa ambao wanaamini katika utawala wa Sheria na Adabu

Ewe M/mungu usituleteee vichaa "wazee" kama Edwin Mtei wenye kubaka demokrasia kweupe huku wakijidai wanapigania demokrasia hiyo hiyo hawatufai!

Ee Mungu uzidi kutupatia Viongozi kama 100 dizine ya Mtei ambao hawakupenda kuburuzwa katika kile walichikiamini hata kuamua kuachia madaraka manono kwa maslahi ya taifa

Ewe M/mungu usituletee vyama vyenye kugawa wananchi kwa ukanda na ukabila kama Chadema hakitufai!

Na Mungu pia hatutaki vyama vinavyolea na kukumbatia Wezi wa Raslimali za Taifa huku waja wako wakikosa hata umeme wa kuwashia mashine za Upasuaji

Ewe Mungu usituletee vichaa "wahandasi" wa habari wenye kutumia vibaya kalamu zao kwa manufaa ya matumbo yao kama Mwanakijiji na Kubenea hawatufai!

Na Mungu hatukati watu dizine ya Masatu wenye wivu na Fitna dhidi ya Wengine

Amina baba wa majeshi
 
Amina baba wa majeshi

Dua hizi naanza kuona taratibu inabadilika...mpaka wachangiaji sara hii wafikishe page..12....15...18..na ushehee hivi, dua itabadilika na kuanza kuwa sala ya kujiombea sisi wenyewe kifo na kizazi chetu.

Eeee..Mola naomba ubariki michango na mawazo ya wanaochangia dua/sala hii ili isije gauka kuwa ya kuombea kifo chetu na vizazi vyetu...!
Amina.
 
Back
Top Bottom