Twanga pepeta ya mwaka 1998

jchofachogenda

JF-Expert Member
Jan 8, 2012
537
123
Hiyo ndio Twanga pepeta ya mwanzo kabisa,kutoka kushoto ni Banza stone,Luiza Mbutu,Jesca charles na Hamigoras.Huyo anaepiga gitaa nyuma ya Banza ni Adolph Mbinga. 107.JPG
 
twanga pepeta nnavyoipenda nitakunywa sumu juu yake! Banza stone enzi zake aki rap. Kisa cha mpemba niliupenda sana huo wimbo mpaka simu ya siemens c25 na c28 zikaitwa twanga pepeta si kitoto
 
Hapo naona Luiza anaanza kuwa kinyonga ,anabadilika kutoka kuwa mweusi tii (enzi hizo akifanya kazi gereji pale garage Sinza opp na Lion Hotel) na kuwa mweupe(mthungu) mweee
 
Hapo naona Luiza anaanza kuwa kinyonga ,anabadilika kutoka kuwa mweusi tii (enzi hizo akifanya kazi gereji pale garage Sinza opp na Lion Hotel) na kuwa mweupe(mthungu) mweee

well said mkuu, wanaotumia calorite, hujitetea na kusema, eti maisha yakikukbali unakuwa mweupe...
 
Ni kati ya bendi za kitanzania zilizovuma na kuvunja kasumba ya kuzishabikia bendi toka DRC au Zaire wakati ule
 
Enzi hizo Luiza Mbutu ametoka kucheza ngoma za asili " Tumetokaaa kwetu Mahengeeee, tumekujaaa Darisalaamaaa kucheza ngoma sandala" Naikumbuka verse ya bendi asili iliyo mtoa Luiza. She is neither beautiful nor Ugly, but married" Big up Luiza!!!!
 
Back
Top Bottom