TV zinarushwa bunge live zinaweza kuwa online??

Mkwawa

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
1,334
1,464
Kuna umuhimu wa kurusha habari za bunge live online, Je zipo au kunautaratibu unaweza kuwezesha TV mbalimbali zikapatikana online??

Walio karibu na stations za TV na bunge watusaidia kama inawezekana na au hawaizekani na ni kwanini. Wapo watu wanaweza kukubali website zao zika-host link za live streaming.
 
si ple sana tv stations kama TBCCM wanaweza kujiunga na huduma za u-stream au you tube live channels
fee kwa mwezi nadhani ni kama dola 5 au pungufu ya hapo
lakini kwa vile ni tv ya chama chap sijui kama wataweka online sembuse hata kuapudate website yao wameshindwa
Star tv wako online mda wote.
 
Back
Top Bottom