Tv yangu haikamati stesheni usiku

JosephElly

JF-Expert Member
Jun 5, 2012
2,432
1,034
Ninatumia Euro sola '14 Ila tangu jana naona usiku haikamati stesheni hata moja. Labda chanzo kinaweza kuwa nn ndugu?
 
Ninatumia Euro sola '14 Ila tangu jana naona usiku haikamati stesheni hata moja. Labda chanzo kinaweza kuwa nn ndugu?

Wee unatakiwa utizame TV wakati wa mchana tu na sio usiku, usiku ni wakati wa kulala, TV yako nayo inataka kulala.
Pole dogo, usikacrike ni jokes tu.
 
Hujasema upo mji au kijiji gani?
Tumia cable za kukodi, weka antena ya CDM au angalia video kwa deck VHS DVD nk
 
Back
Top Bottom