TV Tuner for Laptop

Brakelyn

JF-Expert Member
Oct 6, 2009
1,181
517
wakubwa nimepata tatizo la sauti kwenye 'TV Tuner' ya Laptop aina ya Light Wave LW-UTV STIK, nimefuata maelezo yote ya Installation ya Drivers na Software yake kwenye Laptop lakini nikiConnect Cable kwenye Tuner sipati sauti kwenye Channels zote..ila nikitumia Antenna napata Local Channels ITV, Star', Ch10 na EATV na zinaonyesha na kutoa sauti vizuri lakini nikiWeka Cable napata channels nyingi lakini zote hazina sauti.. nimejaribu kubadilisha 'Video Standard' Pal, NTSC, ,,,,etc',,na 'Region' Tanzania haipo kwenye list hiyo lakini nimechagua South Africa kama nchi karibu na Tz' kama inavyoonekana kwenye attachment hapo lakini bado sauti haitoki ninapotumia Cable, Location yangu ni Arusha na Cable Vendor 'Milan',,,mwenye ujuzi wa hii maneno tafadhali sana,,,,,,:A S embarassed::A S embarassed:

15s68ly.jpg

2i21mav.jpg

35hl4sx.jpg
 
He! Kumbe inawezekana kutazama TV kwenye computer? Niambieni nafanyaje wakuu ili na mimi niwemo kwenye ulimwengu wa habari.
asanteni wakuu
 
Mi niliponunua tv card kwa ajili ya desktop yangu waliniambia haitatoa sauti mpaka nibadili crystal..walinibadilishia hapo hapo dukani wakaichomea..ipo ndani ya tv tuner yako kaka...ukienda kwa fundi yeyote anayetengeneza computer/tv au redio atakusaidia.inatolewa hiyo crystal iliyopo wanakuwekea nyingine tatizo litakua limekwisha
 
natafuta drivers sa hiyo tv tuner please nitumie kw ljumuso@gmail.com
 
Back
Top Bottom