Tv bongo

RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
51,719
107,824
Nimesikia TV broadcast bongo inakuwa DIGITAL,je lini inaanza rasmi?Kuna mpango wowote wa kuweka HIGH DEFINITION CHANNELS?Sasa hivi wenzetu wanaingia kwenye 3D TV BROADCAST mpango huo upo kwenye TV za bongo?
Lazima tuzingatie hizi aina mbalimbali za matangazo ya tv kwani DIGITAL BROADCAST itahitaji DIGITAL TV au DIGITAL SET UP BOX na HD broadcast itahitaji FULL HD TV as 3D broadcast itahitaji 3D tv.
Natumaini wataalam wa TV mtatufafanulia hizi teknologia.
 
Tunaangalia digital tv kwa umeme upi? Au ndio maisha bora kwa kila mtanzania.
 
world cup inakuja,inabidi tuone superb crystal clear broadcast ya HD kama tukikosa the real thing 3D-broadcast,maanake hii 3-D ni kama uko ndani ya pitch la football.
 
Nimawazo bora sana. Lakini ni wangapi wana 1080P.

Naona itabidi watu wavae miwani kama wapo kwenye AVATAR vile
 
Nafikiri digital tv nyingi kama sio zote ni HD,vilevile ni bei nafuu kuliko za mchina wanazopigwa hapa mjini,ni mwamko tu na kujua few details.
 
huu huu wa mgao ndugu yangu tutafanyaje sasa.

Waaarabu, wanatumia wind trubine kugenerate umeme. Sisi tunatumia maji ambayo hatuna.

Upepo upo kibao lakini ndio hivyo tena tunapo changanya siasa na uongozi. Tunabakia na Richmond.

Nafikiri ingekuwa vyema kuhakikisha kuwa tuna UMEME twenty four seven, tuna maji twenty four seven. Hayo ni mahitaji muhimu sana kwa binadamu.
 
Mmeshaenda kununua decoder ya TBC startimes lakini?, au nyie hamko Bongo?. Wamesema World cup itaonyeshwa kwa kupitia TBC 2 peke yake, ambayo itapatikana kupitia king'amuzi tu. Duka la Startimes liko mkabala na Polisi Msimbazi, wahi mapema.
 
hiki ndio nini?TBC si TV YA TAIFA?si inapaswa kuwa bure?
 
Waaarabu, wanatumia wind trubine kugenerate umeme. Sisi tunatumia maji ambayo hatuna.

Upepo upo kibao lakini ndio hivyo tena tunapo changanya siasa na uongozi. Tunabakia na Richmond.

Nafikiri ingekuwa vyema kuhakikisha kuwa tuna UMEME twenty four seven, tuna maji twenty four seven. Hayo ni mahitaji muhimu sana kwa binadamu.

ndugu yangu Max hilo la umeme nawaachia wataalam,ila kama unaweza kunisaidia how much does it cost to build one wind turbine and how many wind turbines do we need to light up a city like dar?
 
Mmeshaenda kununua decoder ya TBC startimes lakini?, au nyie hamko Bongo?. Wamesema World cup itaonyeshwa kwa kupitia TBC 2 peke yake, ambayo itapatikana kupitia king'amuzi tu. Duka la Startimes liko mkabala na Polisi Msimbazi, wahi mapema.

nasikia na dstv nao wataonyesha na kama umeshachukua wanachaji shilingi ngapi kwa mwezi mkuu
 
Wanachaji 9,000/= tu kwa mwezi, angalau inalipa. Uzuri ni kwamba huitaji kufunga dish, ni antena yako hiyo hiyo unayotumia.
 
TBC si television ya taifa?nayo mpaka ulipie??!!
 
Niliwahi kusikia Mzee Tido akiongelea digital, nadhani kwa TBC1 wanatarajia kuanza mwaka 2012 kama watatimiza malengo yao. Kwa wengine sijui ila best ikianza tutalipia kama tunavyonunua prepaid. Ni mwendo wa vocha tu kama itakuwa kama mamtoni!
 
mamtoni gani wanalipia TV ya taifa??mind u inarun kwa kodi yako kwanini ulipie??im talking about TBC,not DSTV.
Mfano UK bbc ni bure,pia kuna itv,channel4 and channel 5 bure zote
Na kuna channel kama 40 za digital TV zote ni bure
 
ndugu yangu Max hilo la umeme nawaachia wataalam,ila kama unaweza kunisaidia how much does it cost to build one wind turbine and how many wind turbines do we need to light up a city like dar?

Yes, I can help you on that. I have reliable companies from Germany and Canada.
 
Mmeshaenda kununua decoder ya TBC startimes lakini?, au nyie hamko Bongo?. Wamesema World cup itaonyeshwa kwa kupitia TBC 2 peke yake, ambayo itapatikana kupitia king'amuzi tu. Duka la Startimes liko mkabala na Polisi Msimbazi, wahi mapema.

Thanks. But I am not there.
 
Niliwahi kusikia Mzee Tido akiongelea digital, nadhani kwa TBC1 wanatarajia kuanza mwaka 2012 kama watatimiza malengo yao. Kwa wengine sijui ila best ikianza tutalipia kama tunavyonunua prepaid. Ni mwendo wa vocha tu kama itakuwa kama mamtoni!
We unazungumzia 2012!, wenzio TBC 2 inaanza April ikiwa digital. Ndio maana wanakwambia ukanunue decoder, wameingia ubia na hii kampuni ya kichina inayoitwa Startimes ndio watakaorusha matangazo yao. Gharama ni kama nilivyokuandia huko juu, hakuna cha bure nchi hii.
 
Tutaangalizia baa tu sasa tufanyeje sisi tusiokuwa na uwezo wa kununu decoder
 
I think to have a star decoder is the future look at what's happening in rwanda!
 
Back
Top Bottom