Wakuu ebu tuongee japo mengine yanaweza kuwa ni ugly truth au ni maze ya mila desturi na dini zetu tuongelee misiba na ViFO
Nitaweka dondoo na vichkonozi kadhaa ili kuanzisha mjadala
Nitaweka dondoo na vichkonozi kadhaa ili kuanzisha mjadala
- Kwa nini waafrika/bnadamu tunathamini sana na kuenzi sana mtu akifa kuliko akiwa hai
- Kwa nn kwenye kifo na msiba ni rahisi kupata ushiriiano wa jamii (Jirani ndugu marafik etc) ,michago wa hali y juu kuliko kwenye mambo kama harusi au mchango kusoma kujenga, mtoto au hata mtu mgonjwa...
- Kwa nin ni rahisi na kawaida watu kusindiiza za msiba kwenda mikoani lakini si wengi tuko tayari kusiniiiza mrafiki ndugu hata jama zetu kwenda Mikoani kwenye sherehe kama ndoa.
- Kwa nini msiba inaonekana kuenziwa sana na kirahisi kuliko maisha na uhai.
- je kuna msiba unaofana na unaododa. Nini sababu zake?