Tuzo za FIFA 2010: Messi mchezaji, Mourinho kocha bora

Messi is just messy when it comes to the best player in 2010! He did well with Barca,but he did nothing with Argentina in South Africa. Look at Xavi,he did better with Barca in 2010 as he did well with Spain in SA by winning the world cup;the same credits go to Iniesta. So one of the last two deserved to be the world best player in 2010.

Messi didn't even deserve to be in the top 3. Forlan and Sneijder were the best than Messi. Forlan won Europa Cup with Athletico Madrid,and he was influential in helping out Uruguay to reach the semis of WOZA,and he won the golden ball in SA. Sneijder helped Internacional Milan to win the UEFA Champions League,and he helped so much in sending the Netherlands to the Finals of world cup 2010.

So Messi didn't deserve the award,and even to be in the top 3 list.
 
Binafsi sishangai maamuzi kama haya kwa kuwa hata hawa makocha nao huamua kishabiki kuliko kutazama hali halisi. Xavi alistahili. Hili suala la Messi limekuwa la kishabiki kiasi kwamba hata Messi mwenyewe amesema aliyestahili ni Xavi au Iniesta. Mpira wa miguu unatwaliwa na watu wenye kelele sana. Ni tofauti na michezo kama tennis au basketball, machampioni wa michezo hii huwa hawana longolongo.

Maamuzi kama haya huwa tunayaona hata katika medani za urembo.
 
Spain lashes out at Blatter over Messi's win

MADRID (AP) - The Spanish media lashed out at FIFA President Sepp Blatter on Tuesday after Lionel Messi won the Ballon d'Or ahead of Barcelona teammates Andres Iniesta and Xavi Hernandez, who played for Spain when it won the World Cup.
Spanish daily AS said "Spain is very angry," and Marca has "Two Giants and one Anti-Spaniard" splashed across its front page in reference to Messi, coach of the year Jose Mourinho and Blatter. ABC newspaper wrote: "FIFA scorns the world champions."
Messi won the FIFA award for a second straight year on Monday, the Argentina forward's standout performances for Barcelona outweighing a disappointing World Cup, where Iniesta and Xavi helped lead the European champions to their first world championship.
Iniesta scored the winning goal in July's 1-0 extra-time win against the Netherlands at Soccer City in Johannesburg, South Africa, while Xavi has been labeled the brains behind the team as he orchestrated much of the team's play.
Despite six Spanish players being included in FIFA's 2010 world all-star team, Marca said "without a doubt the biggest loser on this night was Spanish football."

"(Blatter) had the chance to once again show his ill-will toward everything Spanish," Marca wrote. "Only a few days ago he left us without the chance to organize the World Cup by instead opting for Russia and yesterday he left us without a prize that Spanish football deserved."
Russia beat bids from Spain-Portugal, Belgium-Netherlands and England for the right to host the 2018 finals in a vote last month
 
ngoja tu utaona Messi ataanza kuwekwa bench,ngoja Cesc aje tu Nou Camp La Masia
 
wabongo mmezidi, kila kitu ni kulalamika tu! Sneider alichujwa mapemaaa, mbona mlikuwa hamsemi?
 
Keep on dreaming!!!
Messi mashabiki mamluki walio nje ya Spain wengi wao wanamfagilia ndio maana wengi wanmpenda kuliko kuona hali halisi,Maradona alimlaumu mbona ktk timu ya taifa hachezi vizuri kama anapokuwa Barca hadi kutaka kufikiria kumtema,Barcelona sio sana kihivyo,waspain wanatukuza wa kwao sana kwahiyo usishangae ukiona katemwa na kuwekwa benchi kaka.
 
Mkuu naona huko umeenda mbali sana. Mshindi alipaswa atoke katika hao watatu wailoingia fainali. mchezaji ambaye anaweza kuzungumzwa ambaye hakuwepo kwenye top 3 ni scheider. Ila akina torres na arteta mh!!
Nimeenda huko nimetoka nje ya mada kuna mtu kaniuliza swali nimemjibu,ila sikumaanisha hao wawepo ktkt kinyang'anyiro,chamahani lakini nimeingia choo cha kike kwa hilo kidogo
 
Messi mashabiki mamluki walio nje ya Spain wengi wao wanamfagilia ndio maana wengi wanmpenda kuliko kuona hali halisi,Maradona alimlaumu mbona ktk timu ya taifa hachezi vizuri kama anapokuwa Barca hadi kutaka kufikiria kumtema,Barcelona sio sana kihivyo,waspain wanatukuza wa kwao sana kwahiyo usishangae ukiona katemwa na kuwekwa benchi kaka.

Yaani unamaana Messi asugue benchi Barca? You must be dreaming. Hebu angalia stats zake za game alizocheza ukulinganisha na mchezaji mwingine yoyote Barca. Kaka huyo sio Rooney!!
 
Kwa jinsi midfield ya Barca ilivyo hata MASANILO akiwekwa fowadi atafunga magoli mengi,jiulize kwa nini Messi akiwa Argentina anachemsha.Bila ya XAVI,INIESTA & BASQUET Mesii ni mchezaji wa kawaida
 
not the right choice! Schneider was the best through out the season!

Hawachagui mchezaji yeyote kwa kuwa tu alikuwa ndani ya team ilyoshinda mataji au kufika fainali. Wanachagua INDIVIDUAL best player of the year - na kwa hili, Messi deserves it

Messi was also the best throughout hata kama Argentine haikufika mbali. Hata baada ya world cup, anaendelea kufanya mambo. Where is Sneijder?
 
Mkubwa mchezaji bora wa 2010 anachaguliwa kutokana na perfomance ya msimu uliopita,ukizungumzia kwa msimu huu nafikiri hata Christiano Ronaldo angekuwa kwenye top 3
 
Mkubwa mchezaji bora wa 2010 anachaguliwa kutokana na perfomance ya msimu uliopita...........

Kimsingi sio msimu uliopita tu, huwa ni kuanzia January mpaka December - lakini watu wengi (including wanaopiga kura) wamekuwa na mazoea ya kukumbuka performance ya mwishoni mwishoni tu na kusahau yooote ya nyuma (mfano world cup!)

Ronaldo akiendelea hivi, ana nafasi kubwa ya kuingia hiyo top 3 kwa 2011
 
Mara nyingi mwaka ambao kuna WC mchezaji bora hutokana na perfomance ya WC
2006-Fabio Canavaro alichukua tuzo baada ya kuingoza Italy kubeba World Cup pale Germany
2002-Ronaldo de Lima alirudi kutoka kwenya majeruhi na kuiwezesha kubeba WC kule Japan/Korea na alikuwa Top Scorer wa WC
1998-Zinedine Zidane alibeba kombe baada ya kuwaua Brazil na kuipa kombe Ufaransa
 
Mkubwa mchezaji bora wa 2010 anachaguliwa kutokana na perfomance ya msimu uliopita,ukizungumzia kwa msimu huu nafikiri hata Christiano Ronaldo angekuwa kwenye top 3
Asante,yani hata Gang Chomba ana haki kusema Gaucho mchezaji bora mwaka huu ukisema Messi eti kisa kipaji
 
Kwa jinsi midfield ya Barca ilivyo hata MASANILO akiwekwa fowadi atafunga magoli mengi,jiulize kwa nini Messi akiwa Argentina anachemsha.Bila ya XAVI,INIESTA & BASQUET Mesii ni mchezaji wa kawaida
Asante kaka umenisaidia kujibu vizuri washabiki hawa,hawa ndio wale mchezaji wanafikiri siku zote huyohuyo atacheza,asipocheza Lunyamila sijui Kaseja au Costa basi fujo na kisingizio
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom