Kumbe michelle na wewe ni mpenzi wa soka big up sana
Messi ni best player sasa mbali na mchango kwenye timu ya taifa na club, pia idividual skills matters a lot na ndio zimechangia kumpa messi mafanikio kwa kiasi kikubwa
Crap!!Ronaldo de lima ndio alikuwa anafaa kupewa tuzo ya mchezaji bora
Ni kweli kama wangeangalia mafanikio ya timu ya taifa na club Sneijder angestahili.Lakini,kwa kipaji binafsi Messi is the best!!Nakubaliana na wewe 100 kwa mia. Sneijder alistahili tuzo hii. Alipata mafanikio makubwa ngazi zote, club na timu ya taifa. Ajabu hata top 3 hayumo. Messi hakumfikia Sneijder kwa ngazi ya club wala taifa
labda sababu aliwafunga arsenal bao 4 peke yake,ila kwa sasa waspain wachezaji wake wapo juu FIFA inawabania tu,kina Messi na Cristiano Ronaldo 7bu wana wapenzi wengi,ila kwa hali halisi soka sasa ukitaka ushindi uwe na wachezaji wanatoka spain,kina Arteta pale Everton,Silva Man City, Torres Liverpool,Cesc Arsenal nkSneijder deserved it all...!
alichukua italian scudeto
italian cup
UCL
juzi kalamba WORLD club champion
WOZA final in SA
messi wamempa kwa lipi? au ndo mambo ya ushabiki kama wa tu fulani humu...
labda sababu aliwafunga arsenal bao 4 peke yake,ila kwa sasa waspain wachezaji wake wapo juu FIFA inawabania tu,kina Messi na Cristiano Ronaldo 7bu wana wapenzi wengi,ila kwa hali halisi soka sasa ukitaka ushindi uwe na wachezaji wanatoka spain,kina Arteta pale Everton,Silva Man City, Torres Liverpool,Cesc Arsenal nk
Just some few statistics regarding this debate.
2010 World cup
Goals scored
Sneidjer - 5
Messi - 0
Assists
Sneidger -1
Messi - 1
Pass completion rate
Sneidger - 70%
Messi - 72%
UEFA Champions League
Goals scored
Messi - 8
Milito - 6 (Inter Milan)
Sneidger - 3
Assists
Messi - 2
Sneidger -6
Milito - 2
Respective Leagues
Goals scored
Messi - 34
Milito - 22
Etoo - 12
Sneidger - 4
Assists
Messi - 10
Sneidger - 6
Etoo - 5
Milito - 3
World Cup Qualifiers
Goals scored
Messi - 6
Seidger -0
Assists
Messi - 4
Sneidger -1
Messi hakustahili,labda kama kwa kuwa mfungaji bora ligi ya Spain,hata Torres alisuka bao ktk fainali vs Holland,alipiga mpira wakaokoa ukamkuta Fabregas kisha akampatia Iniesta akafunga bao,Arteta alikuwa majeruhi tu na anacheza timu huwezi kusema ni kubwa inahitaji wachezaji bora zaidi ila ni msaada sana angalia mechi za Everton nyingiDu! What has Torres and Arteta done for their clubs this season?
Messi hakustahili,labda kama kwa kuwa mfungaji bora ligi ya Spain,hata Torres alisuka bao ktk fainali vs Holland,alipiga mpira wakaokoa ukamkuta Fabregas kisha akampatia Iniesta akafunga bao,Arteta alikuwa majeruhi tu na anacheza timu huwezi kusema ni kubwa inahitaji wachezaji bora zaidi ila ni msaada sana angalia mechi za Everton nyingi