Tuzo za FIFA 2010: Messi mchezaji, Mourinho kocha bora

Polisi

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,082
639
Ulikuwa mchuano mkali kati ya wachezaji watatu wa timu ya barcelona ( Messi, Xavi na Iniestana) kocha wao ndo aliyekabidhi tuzo. Mourinho atwaa tuzo ya kocha bora
 
not the right choice! Schneider was the best through out the season!

Nakubaliana na wewe 100 kwa mia. Sneijder alistahili tuzo hii. Alipata mafanikio makubwa ngazi zote, club na timu ya taifa. Ajabu hata top 3 hayumo. Messi hakumfikia Sneijder kwa ngazi ya club wala taifa
 
Ulitegemea Schneider kushinda wakati walishamchakachua hata top 3 hakuwepo, sijui wapiga kura wametumia vigezo gani
 
Messi? kwa lipi? FIFA daima huwa ni kituko hawana tafauti na CCM.

Utakufa nacho kijiba cha roho, mwili unao unakonda kwa roho mbaya yako!!! Messi huyoooooo!!!, ndo kashakuwa best player na CCM ndio hiyooooo!!!!!, inaongoza nchi!

 
Utakufa nacho kijiba cha roho, mwili unao unakonda kwa roho mbaya yako!!! Messi huyoooooo!!!, ndo kashakuwa best player na CCM ndio hiyooooo!!!!!, inaongoza nchi!


Hapo ndipo mnaponiachaga hoi watu wa ccm. mkuu, kwa nini usitetee hoja yako vizuri. mfano kama una ushahidi wa messi kuiletea mafanikio club yake au timu ya taifa, tupe data. SCHEIDER watu wanamzungumzia kwa sababu ameifiksha club yake fainali ya ligi ya mabingwa ulaya na timu yake ya taifa kaifikisha fainali ya kombe la dunia. messi kaipa mafanikio gani barcelona au argentina mwaka 2010? hata kama ccm inaongoza nchi basi wanachama lazima mjiheshimu badala ya kutumia maneno ya mtaani Utakufa nacho kijiba cha roho, mwili unao unakonda kwa roho mbaya yako !!!
 
HHAHAH malumbano ya siasa kwenye soka
Hamna haja ya kubishana na watu wa soka la kusimuliwa. The Special One mwenyewe anamkubali Sneider...maana anajua alitoa mchango mkubwa sana ktk vuguvugu lile ambapo Inter walikusanya vikombe vinne au vitatu kama sikosei ktk 2009/2010.
 
Utakufa nacho kijiba cha roho, mwili unao unakonda kwa roho mbaya yako!!! Messi huyoooooo!!!, ndo kashakuwa best player na CCM ndio hiyooooo!!!!!, inaongoza nchi!


mashabiki wa ccm wao kila mahali wanaleta taarabu tu. Sitashanga kama atakuja hapa mwendawazimu mmoja na kudai Schneider ni CHADEMA na Messi ni ccm.
 
Wabongo bana kilakitu tunalalamika, kuchukua kikombe au kufika fainali sio vigezo pekee vya kuwa mchezaji bora wajameni, mwisho wa siku kura zinapigwa ili kumpata mchezaji bora
 
Sneijder deserved it all...!

alichukua italian scudeto
italian cup
UCL
juzi kalamba WORLD club champion
WOZA final in SA

messi wamempa kwa lipi? au ndo mambo ya ushabiki kama wa tu fulani humu...
 
Utakufa nacho kijiba cha roho, mwili unao unakonda kwa roho mbaya yako!!! Messi huyoooooo!!!, ndo kashakuwa best player na CCM ndio hiyooooo!!!!!, inaongoza nchi!


Hivi mnaoshabikia CCM hampati mgao wa umeme? au mnatumiwa tu halafu watu wanagawana pesa za Dowans?
 
Sneider:-

Champions League
Serie A champs
Italy FA
1st Run up FIFA world Cup 2010
Kombe la Dunia La klabu

Nessi

La Liga
oooooooooooooooops.... nothing more

Labda Makame ndo alikuwa kiongozi la jopo la majaji wa kuchagua!!!!!!!!!!!
 
Bravo Messi,si issue kufikisha timu yako fainali au lah! Argentina pia walijitahidi kwenye kombe la dunia kwa mchango mkubwa wa Messi na Messi alifanya vizuri hata kama si kwa idadi ya magoli.Mi nashangaa watu kusema Sneijder ambaye hata katika top three hakuwepo,kwa mtizamo wangu bora hata XAVI na INIESTA aliyetupa raha wapenzi wa Spain kwenye world cup na Messi anayetoa burudani safi kwa kutumia sharp brain yake uwanjani............Go Messi na 2011 uchukue tena.
 
messi hakustahili,hata kama hawaipendi spain,bora hata forlan au sneidjer,ilikuwa ya Xavi hii,poa barca wamemfunza na kumpa jina messi na pia wanamweza kuua kiwango chake kwa kuwekwa benchi,ngoja tumemrejesha cesc fabregas
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom