Ng`wanakidiku
JF-Expert Member
- Apr 18, 2009
- 1,195
- 232
- Thread starter
- #21
Hako katoto unakafanya nini kwenye avata yako?wee sio mkei ni msayu sayu... Ng'wanakiduku
Mie sijawahi hata kusikia matusi acha kutuna yenyewe
Hako katoto unakafanya nini kwenye avata yako?wee sio mkei ni msayu sayu... Ng'wanakiduku
Mie sijawahi hata kusikia matusi acha kutuna yenyewe
Kanapata a kiss from daddy...Hako katoto unakafanya nini kwenye avata yako?
Cheki nilivyoweka mikono! Mkao wa golikipa nangojea kuidaka hiyo zawadi,jinsi nilivyomuadilifu!
Tatizo kuna majina ya viungo (sehemu za miili yetu) ambayo kwa upeo finyu wa baadhi ya watu huwa wanadhani ni matusi kuyatumia hapa jamvini (kwa mfano '******'). Hebu tueleze mtazamo wako juu ya hili ili tukusaidie kupata jibu katika mada hiiTusi ni tusi tu, kwani lusinde alifanyaje, au nayeye ataviita vilikuwa viunganishi?
weee, thubutu!
Hilo jina lako tu utata
nikilisikia ninatikisika baadhi ya sehemu za mwili
limekaa kichokozi sana, labda ubadili ID vinginevyo hushindi.
jina lako limekudiskwolifai.
Labda kamati ya kuhesabu kura utasaidia.
Duh! Imekuwaje tena! Shauri yako unamwacha mcha Mungu! Haya!
Mbona umekageuza kwa nyuma? au ndiyo unakaambia keep it simple stupid huku unakafundisha nanihiii?Kanapata a kiss from daddy...
Mpaka ubadili tabia!nipeni mie. . . .pasaka i karibu heri nikajipatia zawadi
Mpaka ubadili tabia!
medula blongata ya miguuni.
Asante Angel kwa kunipa shavuErickb52 %100
Asante Mamdenyi kwa kunionaErickb52
Huna maana kabisa wewe huwezi kurelate avatar ya wapendwa wangu na ulichoandika...Mbona umekageuza kwa nyuma? au ndiyo unakaambia keep it simple stupid huku unakafundisha nanihiii?
Mie simo lakini, naogopa kutukana nisije kosa zawadi.