Tuzime simu kuna mionzi itapita.

ni habari ya kuaminika kabisa atayebisha naomba umsalimie bob marley huko utakapoenda. source SHEIKHE YAHAYA MWEMBECHAI.
 
KUMBE SHEIKH YAHYA... BADO TUNAMTAFUTA... ALISEMA KUNAKIONGOZ ATAKUFA KTK UCHAGUZ ULOPITA,,,, ! Mh,,,,,,,
IM SURE HIYO MIONZI ITAPITA MBAGALA NA MANZESE,, LKN ILALA TOWN HAITOFIKA,,!
 
KUMBE SHEIKH YAHYA... BADO TUNAMTAFUTA... ALISEMA KUNAKIONGOZ ATAKUFA KTK UCHAGUZ ULOPITA,,,, ! Mh,,,,,,,
IM SURE HIYO MIONZI ITAPITA MBAGALA NA MANZESE,, LKN ILALA TOWN HAITOFIKA,,!

kiongozi ameshakufa, unadhani JK yuko sawa kwa sasa mentally?
umeme bei juu, gesi bei juu, mkaa bei juu, mafuta ya taa bei juu etc etc naye amekaa kimya tu. Unadhani angekuwa mzina asingekuwa ametoa au kuzungumzia masuala haya?

I am sure hata sasa ukimwuliza kuhusu zile ahadi wakati wa kampeni anaweza kukwambia sikuahidi kitu chochote.
 
Back
Top Bottom