Tuzikumbuke Shule Zetu Tulizosoma

Mwisenge Pr (Musoma) -> Muslimu Pr (Biharamulo) -> Rumuli Pr (Bukoba) -> Kashasha Pr (Bukoba) -> Kayanga Pr (Karagwe) -> Moshi Tech Sec (Moshi) -> Sengerema H (Mwanza) -> E.t.c:

Sijui hapa nitachangia ipi?
 
Wakuu,Asanteni sana kwa michango yenu.Naomba kupendekeza yafuatayo1. Vijana watano kati yetu wajitolee na Kufanya Press Conference Maalum ya Kitaifa pale Maelezo Siku ya Jumamosi wiki hii tarehe 05/11/2011 saa NNe Asubuhi kumuomba kila Mtanzania arudi Shule ya Msingi aliyosoma na pia waitane katika kila mkoa na wilaya na kufanya vikao maalum kwa ajili ya shule zao. Hatua ya pili itakuwa kwa ajili ya Shule za Sekondari walizosoma katika nyakati tofauti.2. Kila Mtanzania aweke akiba ya shilingi elfu 3 kila mwezi kwa ajili ya shule yake ya Msingi.
 
Mfaranyaki Primary School std 1-111,Majengo Primary school std IV- V,Litumbanjosi primary school std VI-VII,mambo ya baba kuwa mwalimu unahama naye (unakomaa naye mpaka kieleweke yaani hadi ufaulu kuingia kidato cha kwanza ndio utegemezi kwishney kama utafeli utazidi kuhama naye kwa ajili ya kurepeat)
 
Katibu kata na tarafa nao huama na watoto wao kwa sana
 
mwenge primary -nzasa primary -msongola primary
kibaha sec -nikafukuzwa nikaenda tosamaganga -adv nikarudi tena kibaha sec.
muhas MD --Apollo india then USA baby
 
Back
Top Bottom