Tuzijadili hizi cartoon

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,481
1,364
249536_10150193066398173_63782793172_7174805_7026009_n.jpg

250062_10150189699198173_63782793172_7137412_6065176_n.jpg

251722_10150198343903173_63782793172_7230870_8352795_n.jpg

254672_10150243306268173_63782793172_7614299_4886061_n.jpg

265034_10150221039068173_63782793172_7380392_8053851_n.jpg

269111_10150211943503173_63782793172_7363680_2433446_n.jpg

Tia neno hapa
 
Itafika wakati na atakuwa ashachelewa ndo atajua wakati wa kuwa tegemezi umekwisha
 
wengi wetu (nafikiri) hatujui kuwa 'GADO' ni Mtanzania.

Amefanya mambo makubwa na yanayokubalika kupitia cartoon na ameshatambulika mpaka nje ya mipaka ya Africa. Kiukweli mambo yake ni makubwa sana na ni aina ya binadamu wenye akili nyingi sana na kujua jinsi ya kuzitumia.

Vivyohivyo, tunaye mkuu Kipanya. Huyu mtu anatoa mchango mkubwa sana. Watu wengi ni wachoraji wazuri zaidi yake lakini ule mtazamo wake (vision) juu ya maisha pamoja na confidence aliyonayo vinamfanya awe kwenye nafasi ya pekee hapa Tz. ...but you know what!!!???? ...wengi hatujui hili!

Cartoon ni nzuri na zinaelezea uhalisia wa mtz/Africa
 
Hizi nazo ni moja ya ajira kwetu vijana weak up
 
Ya mwisho imetoa uasilia wa watoto waliokulia kwenye majumba ya serikali na kupanda magri ya serikali. Je kama baba ndo anastaafu na hata kibanda hana itakuwaje, atajiunga na majambazi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom