tuzichambue CARINA (ti) na COROLLA (E111)

jinalako

Member
Apr 8, 2011
56
2
TI VS 111.JPG
HEBU TUZICHAMBUE GARI HIZI AMBAZO ZIMETOKEA KUWA MAARUFU TANZANIA.

CARINA (TI) NA COROLLA (E111)

.kwa ubora
.ulaji wa mafuta
.bei
.kumudu mazingira
.maintenance costs
.comfortability
.kuvutia
.prestige
.etc..
 
View attachment 59840
HEBU TUZICHAMBUE GARI HIZI AMBAZO ZIMETOKEA KUWA MAARUFU TANZANIA.

CARINA (TI) NA COROLLA (E111)

.kwa ubora
.ulaji wa mafuta
.bei
.kumudu mazingira
.maintenance costs
.comfortability
.kuvutia
.prestige
.etc..

Hakuna prestige yoyote kwenye hivyo vigali mkuu. Ni vya hali ya chini sana i.e ni vya watu wa kipato kidogo.
 
The point is I can move my arse from one point to another quickly with comfort.

Hicho ndo cha muhimu mkuu. Watu wanang'ang'ania kununua magari kutafuta prestige na si kama nyenzoo ya usafiri kitu ambacho kinasababisha vijana wetu kuwa mafisadi ili tu aonekane na watu kuwa yeye ndo yeye.
 
nilikuwa sijui kumbe kuna magari yananunuliwa n wabahili na wengine kutafuta "prestige"...loh thanx to jf.........
 
My car is corolla 111, mafuta 15km without ac while 12km per litre with ac, spare napata popote panapouzwa spare hata mtaani kwetu, also ni easy to park hata kama sehemu ni ndogo as gar ni ndogo so sikosag parking town hata magar yajae vipi, tyre ni rim size 13 so nanunua tyre bora kabisa za yana au bridgestone kwa 130 to 150 each wakat zenye rim size kubwa ni gharama, nimeanza kuitumia 2010 na mpaka leo sijawai kufanya service au ufundi inayozidi laki moja yaan ni nzuri sana for us with low income..

Very Easy to budget expenditure for this car, nyumban to work ni almost 13km na budget yangu ya mafuta kwa mwez mzima ni lak 1 tu, nikijaza full tank nasahau kabisa, nikija tena naongeza kidogo mwez umeisha, yaan we acha tu I real love my car... Mwaaaah
 
Hakuna prestige yoyote kwenye hivyo vigali mkuu. Ni vya hali ya chini sana i.e ni vya watu wa kipato kidogo.

Veeeery uncivillized and uncoothed mode of commenting................ i can guess ni wakipata hulia mbwata type...........vomitus!!!!!!!!!!
 
Tatizo lako wewe ku-mukichwa hamnazo. Sasa wewe huelewi nini kwenye hiyo comment yangu. Kwani mimi nimesema nina gari na ni ya aina gani? Hebu msome vizuri mleta maada kisha utoe na wewe basi hiyo sivilaizidi komenti yako tuone, lo!
 
My car is corolla 111, mafuta 15km without ac while 12km per litre with ac, spare napata popote panapouzwa spare hata mtaani kwetu, also ni easy to park hata kama sehemu ni ndogo as gar ni ndogo so sikosag parking town hata magar yajae vipi, tyre ni rim size 13 so nanunua tyre bora kabisa za yana au bridgestone kwa 130 to 150 each wakat zenye rim size kubwa ni gharama, nimeanza kuitumia 2010 na mpaka leo sijawai kufanya service au ufundi inayozidi laki moja yaan ni nzuri sana for us with low income..

Very Easy to budget expenditure for this car, nyumban to work ni almost 13km na budget yangu ya mafuta kwa mwez mzima ni lak 1 tu, nikijaza full tank nasahau kabisa, nikija tena naongeza kidogo mwez umeisha, yaan we acha tu I real love my car... Mwaaaah

Asante sana mkuu
 
Back
Top Bottom