Tuwe wakweli kwa hili Yanga SC ina stahili Pongezi!

Nipo Dar kaka.....

Hapo is where i belong....

bt,that's not an issue,hebu rudi kwenye hoja ya msingi kaka...

Hoja ya msingi ni kuwa Mnyama chupuchupu katika mechi zote 2,suala la kuwa magoli yalirudishwa ndani ya dk ngapi halina mashiko, point ni kuwa they were behind by 2 goals mpk Vijana wetu walipojisahau wakifikiri wameshamaliza kazi ndo Vijana wa Msimbazi wakatumia opportunity hiyo kurudisha magoli, mechi ya Wakubwa nayo mushukuru Wachezaji wenu wa ziada Refa na Linesmen otherwise ingekuwa habari ya tofauti kabisa....yaani generally it was Chupuchupu Mura!
 
Haya basi,

Hongereni kwa soka safi ndugu yangu!!
 
Tokea Yanga wafungwe magoli 2-0 huko Zanzibar kwenye kombe la muungano baadaye tukashuhudia Mnyama huyo huyo akitoa kipigo dhalili cha magoli 5-0 kwa Yanga mapema mwaka huu, nimeiona Yanga ikitulia na kujipanga vizuri hata pamoja na kupokea kipigo cha aibu cha magoli 3-0 kutoka kwa Mtibwa iliendelea kujipanga vizuri na hatimaye jana imemudu kumbana vilivyo Mnyama na kupunguza idadi ya mabao kutoka kipigo cha aibu cha 5-0 mpaka jana terehe 03/10/212 kutoa sare ya 1-1.
Nawatia moyo wana Yanga wote waendelee kujifua zaidi maana Simba wamezidi dharau angalia kama jana wamewawekea Yanga beki wao Yoso Ngalema aliyekua ukuta wa berlin kwa wachezaji wa Yanga mpaka aibu, halafu ushambuliaji kweli Yanga ni wakupangiwa Yoso Edward Christopher aliyekuwamsumbufu hivi kweli mpaka anasababisha Nadir ashike jezi hii ni haki kweli?

Yanga tuungane tuwe kitu kimoja turudishe magoli yote 5 hata kwa magoli ya offside kama tulivyokuwa tunataka tufanye jana sema tu yule Linesman alikuwa anatubania.

Wana Yanga tuendelee kusheherekea sare yetu hii lakini tukijua tunayo kazi kubwa ya kurudisha magoli yote kwani mpaka sasa Simba SC wanaongoza kwa magoli 6-1.
Acha kashfa wewe ni Simba
 
tokea yanga wafungwe magoli 2-0 huko zanzibar kwenye kombe la muungano baadaye tukashuhudia mnyama huyo huyo akitoa kipigo dhalili cha magoli 5-0 kwa yanga mapema mwaka huu, nimeiona yanga ikitulia na kujipanga vizuri hata pamoja na kupokea kipigo cha aibu cha magoli 3-0 kutoka kwa mtibwa iliendelea kujipanga vizuri na hatimaye jana imemudu kumbana vilivyo mnyama na kupunguza idadi ya mabao kutoka kipigo cha aibu cha 5-0 mpaka jana terehe 03/10/212 kutoa sare ya 1-1.
nawatia moyo wana yanga wote waendelee kujifua zaidi maana simba wamezidi dharau angalia kama jana wamewawekea yanga beki wao yoso ngalema aliyekua ukuta wa berlin kwa wachezaji wa yanga mpaka aibu, halafu ushambuliaji kweli yanga ni wakupangiwa yoso edward christopher aliyekuwamsumbufu hivi kweli mpaka anasababisha nadir ashike jezi hii ni haki kweli?

Yanga tuungane tuwe kitu kimoja turudishe magoli yote 5 hata kwa magoli ya offside kama tulivyokuwa tunataka tufanye jana sema tu yule linesman alikuwa anatubania.

wana yanga tuendelee kusheherekea sare yetu hii lakini tukijua tunayo kazi kubwa ya kurudisha magoli yote kwani mpaka sasa simba sc wanaongoza kwa magoli 6-1.
wewe bwana aise una akili kweli kweli manaake ulioandika ni kweli kweli kabisa lakini wewe ni kutoka chama cha siasa au hospitali ya kule dodoma?
 
Watu waliofilisika sera wakishindwa kwa hoja watatafuta uhalali kupitia fani zao. Wewe fani yako ni matusi mpira waachie wenyewe huuwezi, mbona ya mwaka 1977 huyaongelei au wazee wako hawajakusimulia?

Nani katukana hapa? Kumwita mtu kwa jina lake halisi ndiyo tusi? Utindiga wako umekuwa ticked and confirmed!

Next!
 
Tokea Yanga wafungwe magoli 2-0 huko Zanzibar kwenye kombe la muungano baadaye tukashuhudia Mnyama huyo huyo akitoa kipigo dhalili cha magoli 5-0 kwa Yanga mapema mwaka huu, nimeiona Yanga ikitulia na kujipanga vizuri hata pamoja na kupokea kipigo cha aibu cha magoli 3-0 kutoka kwa Mtibwa iliendelea kujipanga vizuri na hatimaye jana imemudu kumbana vilivyo Mnyama na kupunguza idadi ya mabao kutoka kipigo cha aibu cha 5-0 mpaka jana terehe 03/10/212 kutoa sare ya 1-1.
Nawatia moyo wana Yanga wote waendelee kujifua zaidi maana Simba wamezidi dharau angalia kama jana wamewawekea Yanga beki wao Yoso Ngalema aliyekua ukuta wa berlin kwa wachezaji wa Yanga mpaka aibu, halafu ushambuliaji kweli Yanga ni wakupangiwa Yoso Edward Christopher aliyekuwamsumbufu hivi kweli mpaka anasababisha Nadir ashike jezi hii ni haki kweli?

Yanga tuungane tuwe kitu kimoja turudishe magoli yote 5 hata kwa magoli ya offside kama tulivyokuwa tunataka tufanye jana sema tu yule Linesman alikuwa anatubania.

Wana Yanga tuendelee kusheherekea sare yetu hii lakini tukijua tunayo kazi kubwa ya kurudisha magoli yote kwani mpaka sasa Simba SC wanaongoza kwa magoli 6-1.
Ukweli wewe si mshabiki wa YANGA SC, Lakini ahsante kwa upembuzi wako tunakukarisha YOUNG AFRICA SPORTS CLUB- 1933
 
Hoja ya msingi ni kuwa Mnyama chupuchupu katika mechi zote 2,suala la kuwa magoli yalirudishwa ndani ya dk ngapi halina mashiko, point ni kuwa they were behind by 2 goals mpk Vijana wetu walipojisahau wakifikiri wameshamaliza kazi ndo Vijana wa Msimbazi wakatumia opportunity hiyo kurudisha magoli, mechi ya Wakubwa nayo mushukuru Wachezaji wenu wa ziada Refa na Linesmen otherwise ingekuwa habari ya tofauti kabisa....yaani generally it was Chupuchupu Mura!

Kwa hiyo tuwambie FIFA waziondoe sheria za mpira wamiguu, maana ziliwakosesha ushindi wa magoli ya offside
 
Ukweli wewe si mshabiki wa YANGA SC, Lakini ahsante kwa upembuzi wako tunakukarisha YOUNG AFRICA SPORTS CLUB- 1933
Mkuu Malipo kwa mungu nimekukubali mfundishe Tisha toto aache utoto, laiti kama angesoma na kuelewa hoja kama wewe asingetukana watu hovyo.
 
Nani katukana hapa? Kumwita mtu kwa jina lake halisi ndiyo tusi? Utindiga wako umekuwa ticked and confirmed!

Next!
Jina langu halisi analijua mama yangu na mke wangu, sasa wewe cheo chako ni kipi kati ya hivyo?
 
wewe bwana aise una akili kweli kweli manaake ulioandika ni kweli kweli kabisa lakini wewe ni kutoka chama cha siasa au hospitali ya kule dodoma?
Rudi kwenye hoja tafadhali, kwani umeona kuna bendera za vyama vya siasa hapa? Kuhusu swali lako la pili fani yangu ni "Doctor (Medicine)" na niliwahi kufanya "Internship" Dodoma, una swali lingine?
 
hawa (kama huyu mleta uzi) ndo wale ambao hata wakipita pale jangwani kwetu wanakojoakojoa ovyo na kuonekana wana yanga ndo tunakojoa ovyo
3
pale jangwani mnakojolewa kwani nyie mnalaliwa au

(mtazamo tuu usijenge chuki)
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom