tuwe tunawasikiliza watoto mapema

Nambe

JF-Expert Member
Jan 18, 2011
1,451
528
mama alitoka job, kuingia tu ndan mwanae mdogo kampokea na kumwambia mamy subr nikuammbie kitu, mama akamkatisha, akamwambia utaniambia baadae coz saa hz naenda kupika, akiwa anapika mtoto kaanza "mama leo...." mama akamkatisha tena, bas baadae wakiwa wamekaa wote dining wanakula yaan familia nzima mtoto akanzisha tena, "mama bas leo alikuja auntie Rose akamkuta dady...., mama akaitikia ahaaaaa, mtoto akaendelea baba akambeba akamkalisha pale akionesha mezani, mama enhe, (hapo baba chakula kishakuwa kichungu), mtoto akaendelea halafu akambeba tena akampeleka chumbani kwetu(mtoto alikuwa bado analala na wazaz), kisha akamvua nguo, ( hapo baba jasho linamtoka mwili mzima akijua kaumbuka)mama kwa hasira enhe ikawaje, mtoto akasema akamlaza kitandani, na yy akavua nguo halaf akamlalia wakaanza kucheza kama we unavyochezaga na uncle John......................hahahaaa, unahc nini kilifuatia hapo,
 
Nahisi kabla hajamalizia kutamka '...john..', mama alimnasa kofi kwa 'kumvunjia' heshima baba yake.
 
Nahisi kabla hajamalizia kutamka '...john..', mama alimnasa kofi kwa 'kumvunjia' heshima baba yake.
teh teh hapo mama hasira yote ilishuka akawa mdogo ka piriton, hakutegemea hlo
 
ha ha ha ha ha ahha umenikumbusha ngoma ya profesa J ....aliyeuziwa cheni kauza cheni ya bandia naye aliyenunua cheni nae katoa hela bandia tuliozoea mji tunasema ngoma droo...huyo mtoto ni mwanadiplomasia
 
Hivi mods mmeshindwa kabisa kutuwekea kitufe cha like tunaotumia mchina?
 
hahahaaaaaaa, yah mtoto anajitambua, kawaweka kati, nani ana ubavu wa kumnyooshea mwenzie kidole sasa coz wote wasaliti
ha ha ha ha ha ahha umenikumbusha ngoma ya profesa J ....aliyeuziwa cheni kauza cheni ya bandia naye aliyenunua cheni nae katoa hela bandia tuliozoea mji tunasema ngoma droo...huyo mtoto ni mwanadiplomasia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom