Tuwe tunawaambia watoto ukweli.

Bra-joe

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,562
986
Bwana mmoja alinunu mbwa jike, kwa kuwa hakupenda mbwa huyo azae mara kwa mara akawa anampaka dawa ya kuzuia mimba ktk uke, siku moja mtoto wake wa kiume akamuona baba yake akimpaka mbwa dawa, akamuuliz, "baba unamfanyanya nini mbwa"? Baba akajibu, "nampaka mafuta ya kumsaidia kutembea" baada ya wiki 1 wakati wa hasubui yule mtoto aliwakuta mbwa wao na mbwa wa jirani yao wamepandana, akamuita baba yake kwa sauti ya juu, "baba njoo uone, jana ulisahau kumpaka mbwa mafuta, ameshindwa kutembea, mbwa wa jirani amemleta anamvuta."
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom