Tuwe Makini wasichana tutadanganywa mpaka lini??

Penzi lake ndio linaonekana lilikufanya uwe kipofu ukashindwa kumgundua
mume wa mtu utamjua tu ukiamua, pole sana kwa kuingizwa chaka, kakupotezea muda wa chuon
ambao ndio mzuri wa kutafuta mchumba, maana hapo ndio mnajuana barabara
achana na ukewenza, tulia tu utampata wako wa milele na utamsahau huyo mwongo
embu imagine umempa nafasi unakuwa mke wa pili atakavokuwa anakudanganya
achana nae ushamjua na uongo wake
 
Kwan mimba ni effect?????if so kivip???
Wawe makini kivipi Dada angu? Huwezi kumjua mtu Eti pale tu atakapokuja kwa mara ya kwanza, ujue huyu huko hvi au vile. Kinachotakiwa hapa ni wewe kuwa na msimamo wako.sikushaur uje kuw mke wa pili ,achana nae mana bado hajakuletea effect kubwa kam vle Mimba,ambyo inawez kukufany ukakae naye..

Kwa Dunia ya leo wake wawil ni Ugomv ambao hutawez kuhimil kam una moyo mwepes. Ni hayo tu sisy angu na pole sana kwa yaliyokukuta.
 
Kwan huyu alimjulia shulee?????c chuo????
Penzi lake ndio linaonekana lilikufanya uwe kipofu ukashindwa kumgundua
mume wa mtu utamjua tu ukiamua, pole sana kwa kuingizwa chaka, kakupotezea muda wa chuon
ambao ndio mzuri wa kutafuta mchumba,

maana hapo ndio mnajuana barabara, achana na ukewenza, tulia tu utampata wako wa milele na utamsahau huyo mwongo
embu imagine umempa nafasi unakuwa mke wa pili atakavokuwa anakudanganya
achana nae ushamjua na uongo wake
 
Hv angekuambia ukweli kwamba ameoa na ana familia ungempa "TUNDI"?
Inategemea na situation, atleast unajua uko na mtu wa namna gani na hujiachii asilimia zote, na kama kumkatalia kamahumtaki pia inakuwa ni uamuzi wako, kwa vie ukweli unakuwa nao
 
Dada heading yako inatuambia wadada tuwe makini tutadanganywa mpaka lini. Sa mbona we bado unaendelea kudanganywa? Mtu ashakwambia ana mkewe bado tu unajiuliza mara mbili ukubali kuolewa nae au la? Alimpenda mkewe mpaka akaamua kumuoa kama asingempenda angekwambia anamuacha akuoe wewe lakini kakwambia akuoe mke wa pili, na wewe ukishaingia ndoani akikuchoka atatafuta mke wa tatu na ikiwezekana zaidi.

Amka zinduka usingizini mdada inaelekea una hamu sana ya ndoa ndio maana huyo mbaba anazidi kukudanganya. Subiri muda wako wa kuolewa bado haujafika wadada mpunguze kutamani ndoa kabla ya wakati, hasa hawa wa chuoni wanatamani akimaliza tu chuo apate ndoa. Mtaendelea kudanganywa mpaka
 
Pole. Fungua ukurasa mpya kwenye maisha na mapenzi kwa ujumla. Ukisikia ukubwa dawa ndio huo sasa. Yaani ndio umeshakuwa mkubwa sasa. Ila namwonea huruma huyo atayefuata baada ya hapo. Moyo ukishajeruhiwa huachiwa vidonda, vidonga vikipona huacha makovu. Sasa kwenye kovu mara nyingi huwa hakuna hisia halisi kama zile zilizopo kwenye sehemu ambayo haina kovu.

Ndio umeshakomaa hivyo Sara. Songa mbele, picha la maisha ndio kwanza limeanza!
Ahsante masaki, kwa mawazo mazuri kweli huu ndio ukubwa, mama aliposema kua uyaone hakumaanisha magorofa ya posta bali na vijambo kama hivi
 
Nashukuru wana jf kwa makaribisho mazuri,
hivi inakuwaje mwanaume anakuwa muongo anakudanganya for two years kwamba hajaoa, then unakuja unagundua kaoa ,ana mke na watoto
Mie nimedanganywa na sasa niko kwenye maumivu makali ili niweze kuendelea na maisha,nilikutana nae chuoni yeye anasoma masomo ya juu zaidi yangu, akasema yuko single na mipango yote ya kuoana tukimaliza chuo alikuwa ananiambia.

Yeye alitangulia kumaliza lakini alikuwa anasafiri anakuja kuniangalia chuoni, baasi nilipomaliza kwa vile tunakaa mikoa tofauti nikaamua kumzukia kwa suprise huko anapoishi, nilienda nilipofika mojakwa moja hadi ofisini, kastuka sana, tukatoka nikajua napelekwa kwake akaishia hotelini, jioni alipokuja ndio akanimwagia hilo shuzi, eti sorry,hivi kweli binadamu wamekuwa na roho mbaya kiasi hiki?nawaasa wasichana wenzangu wawe makini sana na hawa wenzetu kwani sio kila kitu wanachosem ni kweli....sasa nikaamua kukatisha mawasiliano kabisa kwa kipindi kirefu kiasi
juzjuz kaja na mpya kaniomba anioe mke wa pili kwamba hawezi ishi bila mimi, marafiki zangu wanavutana wengine wanasema nikubali na wengine wanasema niendelee na msimamo wangu, je wewe mwana jf mwenzangu unasemaje?????
\pole sana dada.... but all i can say is , DO YOUR HOMEWORK

LAWAMA HAZISAIDII SANA
 
Dada heading yako inatuambia wadada tuwe makini tutadanganywa mpaka lini. Sa mbona we bado unaendelea kudanganywa? Mtu ashakwambia ana mkewe bado tu unajiuliza mara mbili ukubali kuolewa nae au la? Alimpenda mkewe mpaka akaamua kumuoa kama asingempenda angekwambia anamuacha akuoe wewe lakini kakwambia akuoe mke wa pili, na wewe ukishaingia ndoani akikuchoka atatafuta mke wa tatu na ikiwezekana zaidi.

Amka zinduka usingizini mdada inaelekea una hamu sana ya ndoa ndio maana huyo mbaba anazidi kukudanganya. Subiri muda wako wa kuolewa bado haujafika wadada mpunguze kutamani ndoa kabla ya wakati, hasa hawa wa chuoni wanatamani akimaliza tu chuo apate ndoa. Mtaendelea kudanganywa mpaka
Ahsante mpendwa, nimependa tu kushare na watu nione mawazo yao kama yanalingana na ya kwangu, kuhusu kuolewa ndio napenda kuolewa ila siko that much desperate
 
Polee sarahM kwa yaliyokukuta, but wazo la kuolewa mke wa pili sikushauri, let me dedicate this letter to you na kwa wote waliokosa nafasi ya kuisoma nilivyoipost miez iliyopita...



Dear Sisters, Girls and Ladies,

Please, sit back to read through this post and do not be in a hurry to read it. This post can change the rest of your life for good.

75% of you have mistaken lust for love in many relationships with boys and men. Because, you have been misled by your emotions and ignored the truth. That true love is not based on emotions and physical attractions, but on honesty and transparency of the heart, soul and spirit.

You are creatures of easy virtues, who are often swayed by the flattery and lies of boys and men who swear to love you, but are only interested in your physical attractions and how pretty or sexy you look. They would do whatever they could to lure you and woo you to seduce you into premarital sex and even promise to marry you. And in most cases, you would be mere pawns in their Chess of Romance. Because, they later compare notes with their buddies when they meet at the Club billcanas in DSM, Mzumbe garden in mbeya city and other bars, clubs or pubs where they regale themselves.

Even when they do whatever it would take to hook you and marry you after they would have sworn heaven on earth at the marriage registry or before a crowd of witnesses in church, they will now show you their true colours in black and white. And it would be too late to cry. Because, you are trapped in the bondage of a marriage of convenience. So, you have no choice but to do your best to survive by all means possible. But please, do not do anything stupid or what you would later be left with apologies and regrets for the rest of your life.

Don't fall for the "shine shine brazamens" or the "rich guys", whether young or old.
Don't lure a married man from his wife. Because, the grave consequences of adultery would leave you cursed and scarred for life. The husband who would stray from his wife to waste his money and time on you is evil and wicked and deserves to be condemned and damned. Because, only an irresponsible and unreasonable husband will betray his wife.
Remember that, as he was unfaithful to his wife, he would be unfaithful to you too.

Do not be looking for a ready made husband who has already acquired all the status symbols of the society and then pack into his house, because such a man would feel that you did not contribute to his success and in fact, he would treat you as part of his acquisitions of status symbols like a trophy girlfriend or trophy wife. Because, men love the acquisition of status symbols and having a pretty and sexy girlfriend or wife can boost their egos and they cheat, lie, exploit and even steal to acquire them. And if you prefer to be his trophy girlfriend or trophy wife, be ready to face the humiliation of his infidelity. Because, when the first trophy is now rusty with age, he would prefer a new one.

Love and marry any honest and hardworking man you can build a home with and raise a good family. So that he would be proud to say that you contributed to the building of his home, progress and success.

Too much sex is not good for you.
Because, ask the commercial sex workers and the most sincere ones will tell you that they now use diapers like babies. Why? It would be unprintable here. Ask them to confess the bitter truth of the sour grapes they eat in their ordeals of abusing and misusing the awesome sacred body God has given to womanhood.

Finally, do not be deceived and fooled by the lies and vanities of social life. They are all perishable things and they will all end up in the cemetery and junkyard.
Do yourself a great favour today, after work, relax and read the books of Proverbs and lines of the Holy Bible. The profound words will guide and guard you for the rest of your life and you would be wiser and richer.

These seven verses are for your own good.
Share them with your sisters, friends and every literate member of the female sex.

Everybody deserves a good life, so, do not spoil or waste yours.

Cheers and God bless you always.

Yours faithfully,
...............................................
 
Mtumeeeee! keshaibiwa mtu mume, sasa huyo mume alidhani akikudanganya ndio ataonekana bora ama?
endelea na maisha kuliko kukubali kuwa mke wa pili kwa jamaa muongo hivo
 
Hus ni kweli. Ni rahisi sana kumchunguza mpenzi wako pale mnapoanza mapenzi kwani huwezi kupenda na kumzimikia mtu ghafla kwa maana ya kuingia kichwa kichwa. Muda wa mwanzo mwanzo wa uhusiano kila mtu anakuwa amekaa kimachale machale.

Ila ndio hivyo kuna watu hawawezi kujifunza mpaka wakosee (learners through mistakes) na kuna wengine wanajifunza kutokana na makosa ya wenzao (learners through other's mistakes) which is a best way to learn.

<br />
<br />
ni sahihi kabisa, tena huwa namwambia unanidanganya kimoyo moyo. Nikihisi unanidanganya muda si mrefu napata evidence kuwa ulinidanganya. Ni ngumu kuniamini ila habari ndio hiyo.
 
Shantel umeshtuka? Haya sasa wale wa mkoani wenye waume waliomaliza elimu ya juu karibuni waanze kupekua simu! Teh teh teh
Mtumeeeee! keshaibiwa mtu mume, sasa huyo mume alidhani akikudanganya ndio ataonekana bora ama?
endelea na maisha kuliko kukubali kuwa mke wa pili kwa jamaa muongo hivo
 
mmh pole sana,.. jst jipange upya na uanze tena,.. men r another people i cn say they r ol da same jst b careful in choosing.
 
badilisha msimamo.kaa chini muyamalize na mmeo.yaani kuoa tu ndo usahau fadhira zote.ongea na moyo wako kumbuka penzi lenu lilivyokuwa moto moto.piga moyo konde.kijana kaonyesha nia na katubu.huwezi jua kwanini kaoa.maisha ni mzunguko.kama siku hiyo alikuambia na bado alivyorudi jioni ukalala nae,unafikiri kuna nini tena?inawezekana wewe ni wapili kwenye ndoa lakini wa kwanza moyoni.mia
 
badilisha msimamo.kaa chini muyamalize na mmeo.yaani kuoa tu ndo usahau fadhira zote.ongea na moyo wako kumbuka penzi lenu lilivyokuwa moto moto.piga moyo konde.kijana kaonyesha nia na katubu.huwezi jua kwanini kaoa.maisha ni mzunguko.kama siku hiyo alikuambia na bado alivyorudi jioni ukalala nae,unafikiri kuna nini tena?inawezekana wewe ni wapili kwenye ndoa lakini wa kwanza moyoni.mia
Mia, fadhila gan sasa wakati jamaa hakuwa mkweli, this means hata walichokuwa nacho wakadhani ni penzi ni uongo mtupu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom